Nimeona kipeperushi cha kongamano la wanaume wa Arusha.
Kongamano hilo lililenga kukutanisha wanaume ili wakazungumzie matatizo wanayokabiliana nayo na kuhimizana kutokaa na jambo moyoni.
Sijajua kama walikutana jana ama lah lakini kongamano linawaomba wanaume wa Arusha wasiwe wakimiya...
Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwanini waliamua kujenga...
Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika.
Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja.
Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
TROPICAL CENTRE INSTITUTE LIMITED, inawatangazia nafasi za Kazi, Walimu wenye Sifa katika masomo yafuatayo: -
1. Food and Beverage Service and Sales.
2. Food Production.
3. Front Office.
4. House Keeping.
5. English Language and Communication Skills.
Sifa za mwombaji: -
1. Awe ni muhitimu wa...
Arusha. Amina Jamali (18) amekutwa amekufa katika nyumba ya kulala wageni ya Lightness iliyopo jijini Arusha.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Salumu Hamduni ameieleza Mwananchi Digital leo Jumamosi Desemba 5, 2020 kuwa taarifa za awali ni kuwa msichana huyo amekufa kifo cha kawaida...
Salamu nyingi kwenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.
Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi
Hakimu...
Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
Diwani wa kata ya Daraja Mbili kupitia CCM, Prosper Msofe ambaye aligombea Umeya wa jiji la Arusha na kupata kura 9 amelalamikia yaliyotendeka katika uchaguzi huo.
Msofe amelalamikia wapiga kura kutekwa na kuwekwa kwenye ‘bar’ ambao pia walikatiwa mawasiliano naye. Amesema viongozi kuingilia...
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani;
Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana.
=======
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa.
Zaidi....
Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
Habari Wakuu,
Nina sehemu zangu za biashara ya vinywaji (groceries) hapa Arusha ninapouza pombe za viwandani (bia,Konyagi n.k). Nataka siku za weekend niwe nauza pia pombe ya mbege.
Natafuta mtu wa uhakika ambaye ataniletea mbege safi kutoka maeneo ya Kilimanjaro hasa Kibosho.
Kama upo humu...
Hakika CCM imedhamiria haswa.
Mbunge mteule wa Jimbo la Arusha ndugu Mrisho Mashaka Gambo ameanza kutekeleza mojawapo ya ahadi zake alizozitoa jijini humo hususani katika soko kongwe na maarufu la watu wa kipato cha kati na chini ,SOKO LA KILOMBERO.
Mheshimiwa Gambo amewezesha uchimbaji wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni;
Arusha Mjini:
Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.