arusha

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

    MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda. Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataweza kurejesha Azimio la Arusha? Tujadili

    Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere. Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
  3. Mzizi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya nauli ya Dar to Arusha

    Wana Jf natarajia kusafiri Alhamisi 24/12/ 2020. kwenda arusha nilikuwa naomba kujua nauli zikoje kwa basi na daraja lake! Ukizingatia nauli za Dar to Arusha naskia huwa zinapanda msomi huu wa sikukuu! Natanguliza shukran
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

    Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka. Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea. 2020 hakuna mchagga atakula Krismas...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali. Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Video: DC wa Arusha alivyoimba mistari stejini kwa kurap

    Inakuwaje Wanajamvi! Ni yule Mkuu wa Wilaya Arusha Kenan Kihongosi aliyewachapa watu wazima viboko makalioni mbele ya watu na waandishi wa habari.
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu. Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano...
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme Arusha umeanza

    Hapo vipi, Watu wa Arusha kwa ujumla wameifuta CHADEMA - Arusha wakaweka kijani kibichi ambayo ni ishara ya neema. Ni takriban wiki sasa Arusha maeneo ya Sakina, Mianzini, Sanawari, Sekei, Kimandolu, Ngulelo n.k wanakata umeme alafu wanarudisha jioni hakuna taarifa yeyote. Mwananchi ana haki...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanaume wa Arusha ndio kitu gani?

    Nimeona kipeperushi cha kongamano la wanaume wa Arusha. Kongamano hilo lililenga kukutanisha wanaume ili wakazungumzie matatizo wanayokabiliana nayo na kuhimizana kutokaa na jambo moyoni. Sijajua kama walikutana jana ama lah lakini kongamano linawaomba wanaume wa Arusha wasiwe wakimiya...
  10. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania

    Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwanini waliamua kujenga...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

    Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika. Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja. Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Arusha

    TROPICAL CENTRE INSTITUTE LIMITED, inawatangazia nafasi za Kazi, Walimu wenye Sifa katika masomo yafuatayo: - 1. Food and Beverage Service and Sales. 2. Food Production. 3. Front Office. 4. House Keeping. 5. English Language and Communication Skills. Sifa za mwombaji: - 1. Awe ni muhitimu wa...
  13. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Msichana akutwa gesti amefariki

    Arusha. Amina Jamali (18) amekutwa amekufa katika nyumba ya kulala wageni ya Lightness iliyopo jijini Arusha. Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Salumu Hamduni ameieleza Mwananchi Digital leo Jumamosi Desemba 5, 2020 kuwa taarifa za awali ni kuwa msichana huyo amekufa kifo cha kawaida...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  15. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Ongezeko la Safari za Treni Dar es Salaam - Arusha kuanzia Desemba 2, 2020

  16. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu zatokea Mahakamani Arusha kwenye kesi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi Hakimu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mgombea Umeya Arusha alalamika wapiga kura kutekwa

    Diwani wa kata ya Daraja Mbili kupitia CCM, Prosper Msofe ambaye aligombea Umeya wa jiji la Arusha na kupata kura 9 amelalamikia yaliyotendeka katika uchaguzi huo. Msofe amelalamikia wapiga kura kutekwa na kuwekwa kwenye ‘bar’ ambao pia walikatiwa mawasiliano naye. Amesema viongozi kuingilia...
  19. Alagwa

    JamiiForums Tanzania Arusha to Dar kwa basi la harambee ni kama azabu

    Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana. Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
Back
Top Bottom