arusha

  1. Leak

    JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

    Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana. Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo na Siasa za Arusha

    Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB). Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu. Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata...
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    Heshima sana wanajamvi, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la Polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa COVID 19 anakimbizwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee. Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania. Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii. Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza. 1. Covid 19 imeutesa sana huu...
  6. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mazingira apongeza uwekezaji kiwanda cha A to Z Arusha

    ARUSHA KIWANDA cha kutengeneza nguo na vyandarua kilichopo jijini Arusha,A to Z kinatarajia kuongeza ajira kwa vijana baada ya kuwa na mipango ya kuzalisha bidhaa za plastiki kutokana na taka ngumu za chupa za maji na mifuko ya safleti. Mtendaji Mkuu wa Kiwanda hicho Viral Shah, aliyazungumza...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

    Nipo Arusha, yaani hivi vi-hiace katikati ya mji ni uchafu na usumbufu katika zama hizi za wingi wa magari. Vinasababisha usumbufu, vinasimama popote ni vingi na kero. Uongozi wa Halmashauri ya jiji Arusha hebu igeni majiji mengine ya Tanzania kama Mbeya na Dar walishaachana na vigari aina ya...
  8. ENANTIOMER

    JamiiForums Tanzania Joining instructions ya Mlangarini Secondary School haipatikani

    Wadau Habari za mida hii, Joining instructions ya Shule ya Sekondari MLANGARINI haipatikani kwa utaratibu uliotolewa na TAMISEMI. Kama kuna mdau anayo, basi naomba anitumie. Pia kama kuna mdau mwenye namba za mwalimu yoyote wa shule hiyo au shule jirani na hiyo, basi naomba anisaidie namba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

    Habari wakuu. Natafuta muuzaji wa zao la mwani kwa Arusha ambaye ana kibali cha kusafirisha nje ya nchi. Mawasiliano 0776655978
  10. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
  11. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

    Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako. ..... Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha. ..... Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuru Town vc Arusha city

    Following a claim by some sections from our neighbour that Nakuru Town beats Arusha city, it is time to iron out the facts out! Whereas Nakuru is still a town some people r trying to compare it to the city of Arusha, the safari capital of East Africa! Mind u, Arusha has the following...
  13. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili ===== UPDATES: ===== Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
  14. Benaya-

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Arusha wamkumbuka aliyekuwa RTO Arusha, Charles Bukombe

    Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao. Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maktaba kuu ya Arusha

    Kazi iendelee... Maktaba kuu ya Arusha, kisima cha maarifa uliyebeba mengi... Safari za ushindi za watu machozi yao na furaha, historia ya tangu kuumbwa kwa dunia hata leo kaskazini kusini mashariki na magharibi jamani wahusika ipakeni rangi hii maktaba kwa nje rangi imechoka mno maktaba...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu haelewani na ndugu zake. Nimsaidiaje?

    Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa. Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani. Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
  17. Semahengere

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

    Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange Baridi ni kali mno
  18. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  19. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

    Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea. Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe...
Back
Top Bottom