Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,905
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu,

Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi,

Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa,

Sasa mnaamua nini ndo nishasema hivyo

🤦🏃😜
 
Mimi nadhani Hitwe wenyewe hawana hizo option za mikoa mingine. Maana hata mimi nikifikaga mikoa fulani nataka nibadilishe location niwanase wakaribu unakuta hakuna hiyo location
 
Mkuu hongera kwa kuanzisha platform. Tangazo limeeleweka
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu,

Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi,

Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa,

Sasa mnaamua nini ndo nishasema hivyo

🤦🏃😜
 
Duh haya kuweni waangalifu tu.ila Kwanini msitulie na wapenzi wenu? why kutafuta hizo cheap papuchi je zinatumiwa na wangapi huko?(just thinking out loud)😒😒
Mpenzi wako ndo anaweza kukupa ukimwi sasa kama hujui. Vile vile wapenzi wa siku hizi mmezidi sana mizinga. simu mbovu, kuuguliwa, vocha, kodi ya nyumba, hela ya kutolea khaaaa. lakini hapa nikikutana nae cha kwanza lazima nitavaa kondomu. Cha pili nikishamlipa hakuna mizinga kila mtu anashika time yake.

Huyo mpenzi unaesema yeye unajua anagongwa na wagapi? na unamwingia peku sasa
 
Ni kweli mkuu!ila nnachomaanisha ingewezekana jinsia zote tu tutulie na wapenzi wetu! Kila mtu na aliyenaye sidhani kama kutakua na mashaka hayo kwamba mpenzi wangu atakua anagawa kwa watu wengine.tutakua salama.

Pia huyo sawa utamlipa shi ngapi? Je mpenzi wako huwa unampa zaidi ya hiyo? Si anakuomba vipesa vidogo vidogo tu tena akikwama kabisa?
 
Mpenzi wako ndo anaweza kukupa ukimwi sasa kama hujui. Vile vile wapenzi wa siku hizi mmezidi sana mizinga. simu mbovu, kuuguliwa, vocha, kodi ya nyumba, hela ya kutolea khaaaa. lakini hapa nikikutana nae cha kwanza lazima nitavaa kondomu. Cha pili nikishamlipa hakuna mizinga kila mtu anashika time yake.

Huyo mpenzi unaesema yeye unajua anagongwa na wagapi? na unamwingia peku sasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom