Na ni mzima kweli kweli kwenye muziki ,mimi nadhani alifanya hivyo kuwafanya wanafunzi wawe attentive kumsikiliza kile alichokusudia kufikisha ujumbe kwa walengwa
Bila hivyo nadhani wanafunzi wasingeweza kumsikiliza kwa umakini kwa hiyo ni mbinu tu ya kisaikolojia ya kumlazimisha hata yule ambaye hakuwa tayari kusikiliza alichokuwa akiongea DC kumfanya amfuatilie kwa ukaribu kbs nukta hadi nukta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.