Na Joseph Ngilisho ARUSHA
MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela ameagiza kuchukuliwa hatua Kali kwa wafanyabiashara wasiowaaminifu ambao bado wanaendekeza tabia ya kuingiza bidhaa bandia mkoani humo kwa lengo la kujipatia faida zaidi huku wakihatarisha Afya za walaji.
Akiongea wakati akifungua...
Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .
Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So...
. Moto uliowaka kwa siku tano mfululizo katika nyumba iliyopo Kijiji cha Olovolosi wilayani Arumeru umesababisha wapangaji kulala nje ili kuokoa maisha yao.
Mwenyekiti wa kijiji hicho, Emmanuel Losiyoni amesema moto huo ulianza Julai 7 na unaunguza nguo, magodoro na vyombo vya ndani tu.
"Baada...
Mtoto wa miaka 15 aliyekuwa akifanya kazi za ndani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na shtaka la mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
Amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Julai 9, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha huku...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM.
Wakati...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo.
====
Mwanaume...
Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha.
Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu.
Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
TUKIO la mtoto wa mwaka mmoja na nusu kudaiwa kunyongwa hadi kufa na msichana wa kazi limechukua sura mpya baada kuhusishwa na imani za kishirikina huku ikidaiwa kuwa ni tukio lake la tatu.
Wakizungumza jana na Nipashe kwa nyakati tofauti, majirani wa eneo la tukio walizungumzia mazingira ya...
Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita.
Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
Habari Wakuu,
Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa.
Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.
Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi...
Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano.
Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
arusha
bongo
bongo movie
hai
jana
kesi
kilimanjaro
kuhusu
kusikiliza
kutoka
mahakama
mahakamani
mikoa
mkuu wa wilaya
movie
ole sabaya
sabaya
vichekesho
wananchi
wapi
Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB).
Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu.
Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata...
Heshima sana wanajamvi,
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la Polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa COVID 19 anakimbizwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu...
ARUSHA
KIWANDA cha kutengeneza nguo na vyandarua kilichopo jijini Arusha,A to Z kinatarajia kuongeza ajira kwa vijana baada ya kuwa na mipango ya kuzalisha bidhaa za plastiki kutokana na taka ngumu za chupa za maji na mifuko ya safleti.
Mtendaji Mkuu wa Kiwanda hicho Viral Shah, aliyazungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.