Nipongeze idara ya hali ya hewa kwa kazi kubwa wanayoifanya,
Kwa hali ya hewa ilivyo kwa hapa Korogwe na kulingana na uzoefu wa hivi karibuni juu ya athari za mvua zinazoendelea kunyesha, ni vema wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Arusha Dar kupitia Korogwe wakachukua tahadhari kutokana na...
Wadau,
Sijaisikia hii radio station kitambo sasa hasa kwa frequency za Dar.
Kwa waliopo Arusha vp tujuzane hii radio bado ipo active au ilishakufa kifo cha mende.
Nawasilisha
Kutokana na gazeti la leo "Daily News" 31/10/2019 kuonyesha kwamba hawa "Wazalendo Industries Ltd" Arusha wana mpango kuanza kutengeneza pikipiki kutokana na kwamba sasa hivi wanatengeneza vifaa vya pikipiki, naona kweli watasaidia vijana wengi kupata ajira na kujikwamua katika maisha magumu...
Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
Wadau wa JF.
Nimepata taarifa ya mabadiliko makubwa kufuatia Uteuzi wa Professor Eliaman Sedoyeka kuongoza Chuo Cha Uhasibu Arusha hivi karibuni.
Msomi huyo Kijana, Mchapakazi, Mzalendo na Mwenye Maono naambiwa amethibitisha ubora wake kwa kuleta mabadiliko chanya maeneo mbalimbali k.m
1...
CCTV INSTALLATION
We are dealing with;
✴CCTV Camera Installation and Repair
✴LAN Installation
✴Computer Service & Repair
✴Electrical Fence Installation
Also we can connect CCTV camera directly to your mobile phone.
️
Contract us :
📶0716128815 (Call & WhatsApp 24/7)
Location: Arusha
Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki,
shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa?
Nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
Mfanyabiashara maarufu wa madini Mererani na Mmiliki wa SG RESORT ya Arusha, Bw. Erasto Msuya Amepigwa risasi ndani ya gari lake na kufa papo hapo mida hii akitokea Mererani kuelekea Moshi.
Yasemekana wauaji wamekimbia na briefcase lake.
PICHA: Mwili wa Erasto Msuya ukiwa umelala chini baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.