Kati ya Arusha, Dar, Dodoma na Mwanza, wapi wanaongoza kwa kula mboga?

Kati ya Arusha, Dar, Dodoma na Mwanza, wapi wanaongoza kwa kula mboga?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,483
Reaction score
167,071
Watu wamekuwa wakila mboga kwa visingio mbalimbali, wengine wakisingizia hii sio mboga, hii ni mishikaki.

Wengine wanasema hii sio mboga, hii ni supu na wengine wanasema hii sio mboga ni nyama choma.

Sasa katika hiyo mikubwa ni wapi mahiri zaidi kwa ulaji wa mboga?
 
Back
Top Bottom