Wale wanafunzi waliohamishia NGURDOTO toka Njiro, kuhamishwa tena.... tetesi zinasema, safari hii ni Arusha University

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,275
31,401
Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi sasa... STAY TUNED
 
Hili lilipaswa kutarajiwa..

Wanafunzi wa kibongo na ustaarabu wapi na wapi?
 
Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi sasa... STAY TUNED
lilikuwa ni suala la muda
 
Haswa! Hilo jina lako limenikumbusha enzi za shule, kulikuwa na kitabia cha kuzungushia vitanda unakuwa ndani kwa ndani kuzuia mwanga wa taa mtu akilala , tuliita mzingo.
Ha ha ha kuna siku tulienda debate KIRAENI GIRLS nikakuta hiyo kitu tukiwa promary. Nilishangaa nikasema nini hiki mbona kama kaburii
 
Kuna siku nimeenda hapo kwenye semina, jioni baada ya semina ilikua kama nipo serengeti vile wanyama wa kila sampuli...mi nikajichukulia mmoja nikashuka nae town, nilikuja kufahamu baadae kupitia huyo dogo kwamba ni wanafunzi wa IAA wamehamishiwa hapo
 
Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi sasa... STAY TUNED
Waache kuwaonea wanafunzi. Nchi ikifika uchumi wa kati wanachuo ndiyo wanatakiwa kukaa hostel ya 5 star kama Ngurdoto.
 
Back
Top Bottom