Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
740
1,000
Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku

Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey Polepole ambaye ni Katibu Itikadi na Uenezi

CCM Mkoa wa Arusha imefanya vizuri kwenye kulinda,kukuza na kubuni miradi mbalimbali ya maendeleo sambamba na kuongeza vyanzo vya mapato

Hongera kwa CCM kwa matumizi sahihi ya rasilimali yanayoleta matokeo chanya.

FB_IMG_16129698010079557.jpg
FB_IMG_16129749010595186.jpg
FB_IMG_16129748963086356.jpg
 

Bayyo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,728
2,000
Makopo ya rangi 6 ya kupaka ofisi yamewashinda wataezana na ma-V8?
Wametanguliza maslahi binafsi kuliko maslahi ya chama. Inasikitisha sana, baadhi ya watu wachache hasa viongozi kuneemeka na ruzuku pamoja na fedha za wafadhili/wahisani badala ya kujenga chama ikiwemo ofisi na vitendea kazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom