Askofu Mwamakula mbona humkemei Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
Makamanda Pipo's power ✌️

Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya.

Sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele wala nyuma. Yupo kimya na hatusikii habari ya kwemda High Court.

Ombi langu ni kwa askofu Mwamakula, ampe makavu Mbowe aachane na Chadema. Askofu Mwamakula onyesha njia ili kikwazo kiondoke. Sio kukaa unakosoa waliopo madarakani tu.
 
Ili Mwamakula akuone una akili, mpe na uthibitisho kua Mbowe kala ruzuku. Mi nakuaminia, chap tu utaleta uthibitisho kwasababu mi naamini wewe huna akili ya kutiliwa shaka, weka uthibitisho kamanda, uwaonyeshe.
 
Kwani uliona anakosoa CCM nchi ni ya kwetu sote vyama vina waumini wake sisi shida yetu ni nchi na sio chama.
 
Huna hadhi ya kuwa kamanda.Ningekuwa karibu nawe ningekupa keleb za uso mpaka usahau njia,keng* kasoro mkia.

Umedanganywa na Polepole kuwa ukiweka nembo ya CHADEMA utakuwa kamanda.

Jua likiwaka,pembe zilizoshikiliwa kwa nta zinadondoka kwa kuwa nta inayayuka.
 
Back
Top Bottom