Hospitali ya rufaa ya Mout Meru Arusha haina parking

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,585
4,268
Nilishangaa kuona Hospitali inayoitwa ya Rufaa haina parking.

Sehemu pekee watu wanayotegemea kupaki ni nje kabisa pembezoni mwa barabara ya East Africa ambapo ni pafinyu labda niseme panatosha robo ya mahitaji.
 
Nilipeleka mgonjwa saa 10 alfajiri hao mgambo wa Suma JKT wnaniambia nimuache mgonjwa kwanza nikapaki gari barabarani ndo nirudi eti hapo hamna parking! Sijui wamekuwaje na parking yenyewe mchana hamna nafasi ni stand ya taxi na Bajaj, bora basi hata kungekuwa na parking maalum
 
Wewe ulienda kutibiwa au kuonyesha ist yako? Kwa mawazo yako unaona wavunje jengo lipi ili wewe ukapaki gari yako? Cha muhimu Ni hospitali iwe na parking kwa madaktari na Ile sehemu ya kupokelea wagonjwa hasa mahututi.
Kwa taarifa yako Hindu Mandal na Regency Ni hosp maarufu sana Dar lkn hazina parking.
 
Tatizo liko wapi hapo?
 
Chaema walichelewesha maendeleo, sasa kijani wapo. 2025 hapatakuwa na kero yoyote isipokuwa nkasi.

Au nasema uongo jamani?
 
How is that important to human health and welfare?
Hospitali ya rufaa maana yake huhusika na wagonjwa wenye matatizo makubwa au pengine waliozidiwa.
hao wagonjwa kwa asilia karibia 80 huletwa kwa vyombo vya moto; acha wale wanaokuja kuwaona wagonjwa ambapo wengi wao hulazwa
Kutowawekea sehemu ya kupaki ndiko husababisha uvunjwaji wa sheria kama kukanyaga majani, kupaki barabarani na kuzuia watu na wagari nk
 
Wewe ulienda kutibiwa au kuonyesha ist yako? Kwa mawazo yako unaona wavunje jengo lipi ili wewe ukapaki gari yako? Cha muhimu Ni hospitali iwe na parking kwa madaktari na Ile sehemu ya kupokelea wagonjwa hasa mahututi.
Kwa taarifa yako Hindu Mandal na Regency Ni hosp maarufu sana Dar lkn hazina parking.

Kiongozi,
Yaani kwa uelewa wako kwa kuwa Hindu mandal & Regencey hazina packing basi umehalisha kuwa packing sio muhimu?
Kwa hiyo una halalisha kosa kwa kutumia kosa la watu wengine
Hebu tafakari vizuri; kumbuka hii ni karne ya 21
 
Hospitali ya rufaa maana yake huhusika na wagonjwa wenye matatizo makubwa au pengine waliozidiwa.
hao wagonjwa kwa asilia karibia 80 huletwa kwa vyombo vya moto; acha wale wanaokuja kuwaona wagonjwa ambapo wengi wao hulazwa
Kutowawekea sehemu ya kupaki ndiko husababisha uvunjwaji wa sheria kama kukanyaga majani, kupaki barabarani na kuzuia watu na wagari nk
A two or 3 lot is enough.
 
Kiongozi,
Yaani kwa uelewa wako kwa kuwa Hindu mandal & Regencey hazina packing basi umehalisha kuwa packing sio muhimu?
Kwa hiyo una halalisha kosa kwa kutumia kosa la watu wengine
Hebu tafakari vizuri; kumbuka hii ni karne ya 21
Hoja kwa hoja sio matusi.
Sasa imeshatokea kwamba siptali yetu pendwa haina maegesho. What is the way forward? Wafanyeje ili kupata parking?
 
kuna likiwanja likubwa pale upande wa juu, sijaliangalia vizuri ila kwa nini wasiweke hata fensi ya mabati upande wachini kutenganisha sijui ni ward au store; halafu watu wakapaki hapo; kwa charge rafiki mf: gari kwa masaa mawili labda shs 500 nk mbona hiyo hela ya fensi itarudi mwezi mmoja au miwili na kuanza kuingiza faida mubashara na wateja wakapata huduma stahiki
 
Nilishangaa kuona Hospitali inayoitwa ya Rufaa haina parking.

Sehemu pekee watu wanayotegemea kupaki ni nje kabisa pembezoni mwa barabara ya East Africa ambapo ni pafinyu labda niseme panatosha robo ya mahitaji.
Tuanze na hapo kwako, Kuna parking?
 
kuna likiwanja likubwa pale upande wa juu, sijaliangalia vizuri ila kwa nini wasiweke hata fensi ya mabati upande wachini kutenganisha sijui ni ward au store; halafu watu wakapaki hapo; kwa charge rafiki mf: gari kwa masaa mawili labda shs 500 nk mbona hiyo hela ya fensi itarudi mwezi mmoja au miwili na kuanza kuingiza faida mubashara na wateja wakapata huduma stahiki
Now you are talking. Viongozi wengi Ni mbumbumbu tukilalamika tu bila kuwapa alternative tutabaki pale pale.
 
Back
Top Bottom