Madhara ya covid 19 yameishambulia kenya na kuwa nchi ya kwanza kwa sub saharan africa kuingia katika recession tokea miaka 30 iliyopita.
Miezi mitatu ya mwisho october mpaka december 2020, GDP ya Kenya ilishuka kwa 5.5% na uzalishaji katika sekta za usafirishaji, viwanda, biashara vilishuka...
Niende moja kwa moja kwa mada.
Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote.
Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
Katika utoaji wa ajira za walimu kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusiana na vigezo vinavyotumiwa kupata walimu.
Nataka nizungumzie kigezo cha mwaka wa kuhitimu chuo.
Sio sahihi na haki kumwajiri mwalimu aliyehitimu chuo mwaka 2018 ukamuacha aliyehitimu mwaka 2017, 2016 na 2015 (wenye masomo...
Habari wana jamvi.
Kwa bahati nzuri mimi ni mdau mkubwa elimu nimefurahishwa sana ujenzi na ukarabati wa mashule unavyoendelea kwani nina hakika vijana wengu watapata elimu katika mazingira bora.
Jana kwa bahati nilimshuhudia Mhe Rais akizindua ujenzi wa ihungo secondary na veta.
Kwa...
Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
Asalaam Alaikum.
Fursa ya ajira.
Kuna nafasi za kazi za...
1) Mhasibu (Accountant).
2) Store Keeper.
3. Personal Assistant.
Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi.
Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo...
Hii ishu imesemwa sana lakini naomba nirudie. Serikali yetu imeajiri watu kama laki tano tu usipojumlisha wanajeshi na polisi. Sehemu kubwa ya hao, kama asilimia 50 ni waalimu.
Ukiangalia hapo hata serikali ikisema iajiri watu kadri inavyoweza haitaweza kutatua tatizo la ajira.
Serikali...
Vijana wengi hukesha hata usiku kucha kusoma ili wafaulu mtongani
Akishamaliza vyuo na kupata vyeti hushinda tu akilalamika ajira hamna huku akikesha kuchat na simu kuhangaika kuangalia movie na ujinga mwingine wa mitandaoni.
Hakeshi kuwaza na ku-brain storm afanye nini ili apate pesa.
Vijana...
Habari Tanzania!
Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima.
WAZO LA AJIRA
Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.
Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na...
Mimi ni kijana wa miaka 26 natafuta kaz ya udereva nikiwa nimesoma NIT VIP nikiwa na leseni yenye madaraja ya B,D,E ,C1,C2,C3 na F nina uzoefu wa miaka 4 na pis no operator mzuri wa forklift.
Kwa mawasiliano zaidi 0673603220,au 0768445700
Tafadhalini wanandgu tusaidiane
Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea).
Amekiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira kwa baadhi ya Wazanzibari, unaotokana na misingi ya...
Habari Wakubwa?
Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu.
Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli.
Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
Ukweli ni kwamba kabla ya awamu ya tano haijaingia madarakani, ajira za walimu na watumishi wa afya zilikuwa ni za kila mwaka, na kama sikosei, wahitimu wote walikuwa wanapata ajira.
Baada tu ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, kumekuwa hakuna ajira za uhakika kwa wahitimu wote wa...
Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏
Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
Habari zenu wanajukwaa!
Haya ni maumivu makubwa sana kwa umma sijui ni private issue ila ninaliona kuwa ni janga kubwa sana tuendako.
Yaani nineshangaa sana ajira nafasi 21 kanda ya Engineer two TANROADS, wameitwa kwenye usaili takribani watu 1223 exactly. Hili linaashiria nini?
Kuwa vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.