Mwalimu ajira mpya, fahamu haya yatakusaidia

Davan

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
1,096
2,000
Mambo muhimu yatakayokufanya udumu kwenye ajira

1. Kamwe usile miwa ya shule (usitembee na wanafunzi). Miwa ya shule ni mitamu ila nakuasa usijaribu kwa usalama wako.

2. Usihoji kila kitu kwa mkuu wa shule hasa MAPATO na MATUMIZI. Wakuu hawapendi watu wanaohoji.

3. Kopa kwa kiasi. Baada ya mwaka kuanza kazi mtaruhusiwa kukopa benki. Kopa benki epuka taasisi kama FAIDIKA, FANIKIWA,RICHMOND,ATLASMARA na nyinginezo.

4. Kazi ya ualimu haina posho yeyote wala over time hata ukeshe hadi SAA nane usiku unafundisha. Posho pekee anayopata mwalimu ni usimamizi wa mitihani ya NECTA kwa mwaka mara moja.Hivyo tafuta kipato nje ya ajira.

5. Fundisha kwa kiasi usijitese sana maana ukifaulisha sifa ni za mkuu wa shule na sio za kwako ila ukifelisha lawama ni za kwako.

6. Usiingie kwenye makundi ofisini wala usipeleke umbea kwa mkuu wako epuka kutumika

7. Kumbuka kujiendeleza elimu haina mwisho.

8.Mwisho lakini sio kwa umuhimu acha siasa ofisini hasa kama wewe ni mpinzani. Tunasema hakuna ubaguzi kwa nje ila kwa ndani fursa nyingi zitakupita kuna ubaguzi mkubwa sana.

KAZI NJEMA
 
las Casas

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
223
250

Namba 5 sikubaliani na wewe. Kufundisha kwa kujitoa sana ni umahiri wa mwalimu. Lengo ni kuwasaidia watoto wafaulu . Hili hata Kama hakuna hamasa yoyote haina shida kwa sababu mwalimu anayejitoa sana kwa wanafunzi hupata dhawabu nyingi sana ambazo ni zaidi ya pesa.
 
Benzodiazepine

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
546
1,000

Kuhusu # 1.
ngoja nisubiri wadau wa kula "miwa ya shule" watasemaje kuhusu hiyo NAMBA 1 hapo!!
Maana mie nasikiaga tu kuwa "miwa ya shule ni mitamu sana"
 
Msonjo Khan

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
435
1,000
Hapo no.5 si ndio maana ya ualimu wenyewe.

Yaani mwalimu inabidi afundishe kwa ufanisi, ili wanafunzi wapate kufaidika.

Kwani si analipwa mshahara hizo sifa yeye zitamsaidia nini?
 
Msonjo Khan

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
435
1,000
Namba 5 sikubaliani na wewe. Kufundisha kwa kujitoa sana ni umahiri wa mwalimu. Lengo ni kuwasaidia watoto wafaulu . Hili hata Kama hakuna hamasa yoyote haina shida kwa sababu mwalimu anayejitoa sana kwa wanafunzi hupata dhawabu nyingi sana ambazo ni zaidi ya pesa.
Nakubaliana na wewe 100%
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom