ajira

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Sheria 2020/2021 naomba msaada nipate ajira/kujitolea

    Habari ndugu zangu. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu kimoja hapa Tanzania mwaka 2020/2021. Nipo mtaani kwa sasa lakini hari imekuwa ngumu sana kwani sijapata sehemu ya kujitolea au ajira ila nipate kulipa baadhi ya bills zinazonikabili. Nimekuja kwenu ndugu zangu...
  2. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

    Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies. 3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Job opportunity, special educators needed

    Job opportunity special educators needed
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Madaktari, manesi na watu wa maabara ajira zenu ziko mashakani

    Ndugu zangu watu sekta ya afya, nawaoneeni huruma sana tena sana. Kaka Beberu (🐐🐐 🇺🇸 a.k.a Rich Goat) anaenda kutupunguzia misaaada, ba ameenda mbali zaidi kwa kuwashawishi mijibeberu myenzao pia ifanye kutubana kutokana na wivu tu wa sisi kupanda daraja la kiuchumi. Kutokana na hotuba ya Jana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ajira za waalimu zimetoka au magumashi yanaendelea?

    Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la...
  7. E medics

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi as Pharmacist asistant

    Habari, Natafuta nafasi ya kazi ya pharmacist asistant (pharmaceutical technician) Elimu: Diploma in pharmaceutical science (3yrs) sehemu ya kazi: Hosipitali, Pharmacy,Dukanla dawa Muhimu Uzoefu: Hosipitali 6months , Pharmacy :7months Mkoa: Dodoma, Morogoro,Arusha, kilimanjaro note: Uaminifu...
  8. Crownjunioral

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira za Ualimu za muda

    Habari ndugu wa JF. Natafuta Mwalimu mwenye combination ya masomo ya lugha (Kiswahili na English). Shule ipo maeneo ya Bukoba, hivo wakazi wa maeneo ya Bukoba na jirani tafadhali wasiliana na uongozi kwa namba +255629327589, School administrator. Asanteni
  9. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Hivi zile ajira elfu 13 za waalimu wa msingi na sekondari zimeishia wapi?

    Ni muda kidogo umepita toka ajira hizi zitangazwe kwa mbwembwe sana. Nilishuhudia wasaka ajira walizipokea kwa matumaini sana japo wengi walihisi ni suala la kisiasa zaidi kutokana na ajira hizo kutangazwa ghafla katikati ya kampeni. Vipi kuna mtu anamjua mtu aliyeajiriwa kupitia ajira hizo...
  10. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu ajira za SBL

    Habari wana JF, Mimi ni miongoni mwa vijana tunaotuma maombi ya ajira kwenye kampuni za SBL kupitia mfumo wao wa maombi ya ajira. Naomba mnijuze kama mnajua 1. Ni muda gani unaitwa kwenye interview tangu deadline ipite ? 2. Je kuna njia nyingine ya utumaji wa nafasi ya kazi , mfano kupitia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyetunyima ajira nasi tumnyime ajira, aliyetutumbua nasi tumtumbue, aliyekataa kongeza mshahara nasi tusimwongezee

    Ndugu zangu, bado wiki moja tu ya kufanya maamzi sahihi kwa yule aliyekuwa anatuona watu wa kawaida. Kimsingi sisi ni watu wa juu na tutabakia juu kileleni. - Alitutumbua nasi twendeni tumtumbue - Alitunyima ajira nasi twendeni tumnyime ajira - Alikataa kutuongezea mishahara nasi...
  12. J1mbo

    JamiiForums Tanzania Salary for lecturers (Masters degree/PhD.) - NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI

    Halo kila mtu I am a scientist from Germany and very interested in tanzania. This is why i applied for a funded research project with the university of dar es salaam. Since I need the actual salaries for admitting it to our german funding agency, I wanted to ask if there is any public table...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Serikali isipobadilisha Sera zake 2020-2025 watu wengi watakosa ajira

    Naiomba serikali yangu sikivu iangalie upya Sera zake maana kule tunaenda kama Sera hazito badilika hali itakuwa mbaya sana. Ikumbukwe Kwa SASA secta binafsi imepunguza kuajiri na walio kuwepo Wana punguzwa. Na makampuni mengi yanasubiri uchaguzi upite wapunguze watu hiyo sio Siri. Sera ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Habari zenu wote, Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo. Nitashukuru msaada wenu.
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu ya JK 2014 ingesaidia kuimarisha ajira za uhakika, kwanini wapinzani waliibeza na Uongozi huu ikaitupilia mbali kabisa?

    Kifupi kabisa ni sera iliyolenga kila Mtanzania anapomaliza elimu awe na ujuzi mahususi utakaosaidia kujiajiri na kujenga Taifa. Sera hiyo ilikusudia kila mwanafunzi amalize kidato cha nne na kisha ajiunge ama na chuo cha ufundi au ustadi kitakachokuwepo kila Kata ili apate mafunzo ya...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
  17. msanawa

    JamiiForums Tanzania Wale waliokutana na ajira toka UNCIED, kimbieni mnaibiwa! UN wanasema hawana chombo kama hicho

    Jamani wadau nimehangaika na hawa watu tangu May nikiamini nimekula shavu but nimetembelea ukurasa wa UN nimekuta tahadhari kubwa mno juu ya utapeli wao. Japo hawajafanikiwa kuniibia chochote but wamenipotezea muda sana. Na tangazo lao lilikuwa hili. Waliolipata na kujaribu kulifanyia kazi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  19. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

    Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa Vijana
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

    Kazi kwenu ndugu zangu
Back
Top Bottom