Habari za muda huu wana jamii?
Matumaini yangu wote mpo salama,wale msio salama basi Mwenyezi Mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi kigumu mnachopitia.
Niingie kwenye mada moja kwa moja.Leo wakati nipo ofisini mida ya saa 8 hivi,nilitembelewa na mgeni hivyo nikashuka chini kuonana nae, sasa...
Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili.
Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
Naibu waziri-Tamisemi, mhe. David silinde akiongea na kituo kimoja cha redio huko Lindi ametoa agizo kwa walimu wakuu kuorodhesha majina ya walimu wanaojitolea kwenye shule zao ili wapatiwe kipaumbele cha ajira kila zinapotangazwa na serikali. In fact ni agizo ambalo linahitaji tafakuri ya kina...
Maisha ni kitendawili kigumu ambacho kwa sisi wanadamu kukitegua tunashindwa kabisa kutokana na ugumu wake.
Ama kwa hakika mambo hayajawa mepesi mpaka ugumu ukukumbatie.
Ni mwaka mwingine bado namaliza soli ya kiatu kusaka fursa ya ajira au kibarua nipate kuweka mkono kinywani ila still mambo...
Wasalaam wakuu,
Kwanza poleni na kazi kwa ambao michongo imegoma mpaka sasa, na pia hongereni na kazi kwa ambao michongo imeenda sawa.
Wakuu, mm ni mhanga wa kukosa ajira, zaidi mhanga wa maisha magumu. Siku hizi nimeshaanza kuzoea mlo mmoja😁, sijisifii ila ukweli upande wangu hali ni ngumu...
Ndugu wazazi wenzangu wasalamu,
Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii.
Nitaeleza kidogo:
Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
Jamani wanajamvi,
Nilikuwa nauliza tu ni lini serikali itatoa ajira za waalimu maanake zile 5000 zimetolewa kwa connection na rushwa nyingi. Lkn tumaini langu ni kuanzishwa kwa somo la historia nina imani wengi tutaajiriwa.
Viongozi wetu waache kutuona sisi kama mazombi, nasi tuna haki ya...
Shirika la Ndege la Namibia, Air Namibia limetangaza kusitisha shughuli zote za usafirishaji na kurudisha ndege zote zilizokuwa zikifanya safari, ikiwataka abiria wote waliokuwa wamekata tiketi kuomba kurudishiwa fedha zao.
Bunge la Namibia limetoa kibali cha kufunga shirika hilo, huku zaidi ya...
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi.
Rais Magufuli...
Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa.
Dk Chaya alisema tatizo lipo si kwa sababu elimu ni mbovu, ila kutokana na mfumo wa elimu ambao mwanachuo...
Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao...
Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbalimbali nchini.
Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache.
Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu.
Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
Walimu Wakuu wa shule za msingi wameagizwa kusimamia vizuri taaluma na kuwabaini wale wote wanaojikita kufundisha tuisheni badala ya kutumikia ajira waliyoiomba.
Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ambapo alitoa agizo wakati alipokuwa...
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya...
Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.
Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021.
Marehemu tayari alikua amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu ambapo baada ya kutoka Jkt alikwenda kukaa kwa Kaka yake Pugu,Dar es salaam.
Huko ndiko...
Elimu ni stashahada ya uhasibu ila kazi yoyote nipo tayari naomba msaada ma boss mliopo humu Mimi binti wa miaka 25 naishi Kibaha, Pwani
0628882267
Asante!
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha...
Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao....
Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.