Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

CTZ

Member
Nov 16, 2016
5
45
Salamu nyingi kwenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.

Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au nafasi nyingine kulingana na uhitaji. Nipo Arusha.

Natanguliza shukrani na MUNGU awabariki sana.
 
Digital base

Member
Jul 19, 2020
69
150
Salamu nyingi kwenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au nafasi nyingine kulingana na uhitaji. Nipo Arusha.

Natanguliza shukrani na MUNGU awabariki sana.
Habari ya leo boss,tuna hitaji watu wa sales and marketing officers tuma CV zako kwa email hii geofrewille@gmail.com
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,744
2,000
Salamu nyingi kwenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au nafasi nyingine kulingana na uhitaji. Nipo Arusha.

Natanguliza shukrani na MUNGU awabariki sana.
Angalia website ya chuo cha nelson mandela niliona kazi zenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom