ajira

  1. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kama hupati Kazi fanya haya

    Nitakuwa specific and short, but clear: Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa zaidi ya miaka. Huku wengine kuhisi wana mikosi au hawana bahati na kutoboa. Basi, leo nitatoa somo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

    Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako...
  3. majid salim dossa

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta ajira, nimeishia Darasa la saba

    Habari zenu wana JF yote, Mimi ni kijana mwenye miaka 22 ninaishi Arusha elimu yangu nimeishia Darasa 7 nimetoka kijijini toka 2014 nilikuwa nafanya kazi kwa wahindi kusambaza bidhaa mbalimbali za maduka kwasababu Wahindi wana maduka mengi hapa mjini toka Corona iingie wafanyakazi itabidi...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa ajira mashirika ya Umma kwa wahitimu waliotoka internship

    Kuna vijana wengi wahitimu wanaitwa usahili kwenye mashirika ya umma na halmashauri zetu kisha kuwekwa utumishi kwa mpango wa intenship. Unakuta kijana anatumikishwa miaka hadi minne bado kupata ajira ya kudumu na ujira anapewa mdogo huku kazi amemudu na nafasi ipo. Mambo haya ni unyonyaji wa...
  5. mwampepe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi

    Habari za muda huu jamani, Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na kushindwa kujiajiri. Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi kiasi ambacho nitaweza kukidhi mahitaji yangu...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa umri ni moja ya ubaguzi katika suala la ajira unaopaswa kukemewa

    Habari wadau! Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa. Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs au 35yrs. Nina uhakika wengi tunamaliza vyuo tukiwa na 23-25yrs jumlisha miaka ya kusugua gaga...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za upendeleo: Rais Magufuli tunakuomba ulitatue na hili

    Hivi siku hizi ajira za walimu ni za upendeleo? Zile ajira 5000 za walimu mheshimiwa Kassim Majaliwa (hata wewe pia) mlisema walimu 5000 tayari wameshasambazwa vituoni lakini hakuna sehemu yoyote majina haya yamewekwa hadharani na hata waziri wa TAMISEMI hajayatangaza. Basi ukipata nafasi...
  8. Chato tena

    JamiiForums Tanzania Hivi haya ni ya kweli wahanga wa ajira?

    “Katika kipindi cha kuanzia July, 2020 hadi January, 2021 jumla ya ajira 450,416 zimezalishwa katika sekta mbalimbali, kati ya ajira hizo, ajira 169,475 zimetokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Serikali na ajira 280,941 zimezalishwa katika sekta binafsi”-Waziri Mpango leo Dodoma...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Hello, Ninatafuta Ajira
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vijana tumesahaulika

    Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya. Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Huenda ukapoteza ajira. Umejiaandaaje kubadilika?

    Habari; Katika mambo ambayo mwanadamu yeyote haweza kupinga ni ukweli kwamba duniani inabadilika.Ni ukweli usiopingika kwamba kasi ya mabadiliko iliyopo ni muhimu sana tukajiandaa kuwa wafanyakazi tofauti sana,wajasiriamali tofauti na wafanya biashara tofauti. Leo nataka tujadili kuhusu namna...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutumia LinkedIn kupata ajira

    Habari ya humu ndani. Mimi siyo HR wala mtaalam sana wa mambo ya HR ila ninataka kutoa mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu. Katika mitandao bora kabisa ambayo inaweza kubadili maisha yako ni Linkedin hasa kwa wanaotafuta kazi au hata wenye kazi ambao wanatafuta kazi ya ziada au kazi bora...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
  14. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi kila mwezi tulipe pesa wapewe waalimu wasiokuwa na ajira ni sahihi?

    Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni) Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Haikuwa uamuzi sahihi kusitisha ajira hata kwa Walemavu, hili kundi linataabika sana mtaani

    Suala la ajira limekuwa ni kilio kwa makundi yote katika jamii hasa wenye vipato vya chini ikiwemo wenye ulemavu wa aina mbalimbali na wasio na ulemavu pindi wanapohitimu elimu zao ama ngazi ya cheti hadi shahada hasa katika utawala huu wa serikali ya awamu ya tano. Tumesikia kauli mbalimbali...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber natafuta kazi

    Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi. Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari. Namba yangu ni 0624055653
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za uvuvi kwa wahitimu wa aquaculture

    Mhitimu wa aquaculture anaruhusiwa kuomba kazi ya Afisa uvuvi Msaidizi
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifanye haya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana

    Kiukweli serikali ya awamu ya tano chini ya JPM imefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya kuboresha miundombinu na huduma za afya kitu ambacho kila mwananchi anatambua hilo bila ubishi. Ila bado vijana wanaonekana kama kundi lililosahaulika ,japo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inasema...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka utapeli wa kazi na ajira kupitia mtandao

    Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza. Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo. Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Edward Lowassa aliwaisema kuwa janga la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo wa maisha mbele za watu, kwani kuna wengine elimu wanaiona kama imefunga maisha yao laivu. Mtu...
Back
Top Bottom