Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
865
1,204
Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili;

1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti?

2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies.

3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana wapi?

Karibuni wanajukwaa msaidie kupanua uelewa juu ya swala hili.
 
Mfano ukisoma SUA cheti kinatoka department ya Veterinary Medicine... Hapo unakosa kwasababu ya department .
 
Tatizo hili analo mtu wangu wa karibu kamaliza sua 2020 hii sasa anashindwa kabisa pakuanzia mkuu yani kijana anaanza kuchanganyikiwa tusaidiane jamani aya mambo
 
Iyo koz zaman walikuwa wanachukuliwa afya Ila saiv naona wapo chin ya wizara ya mifugo kazi wanafanyia TVLA maabara za wanyama.
 
Hawa biotechnologist waliondolewa kufanya kwenye hospitals sababu hawajasoma human anatomy so they cant work wth human.... Its true that most ya lab technitian wa hospital wanakusnya sample wenyewe.. mfano damu kwenye ila hawa wa sua na ud pia they where not trained kufanya hvyo.

This guys from sua wako so good though kwenye vitendo na wamekuwa trained vizuri sana
Last tym magu alikuja sua aliambiwa hilo swala ila naona hamna ufatiliaji kabisa..
Kama unamdogo wako anataka kusoma hyo coz mshauri abadilishe itamtesa na miaka hii ubora wake pale college yangu ya veterinary medicine ni mdogo sna.

Kudaclare interest im a vetenarian so i know the course we shared the college
 
Hawa biotechnologist waliondolewa kufanya kwenye hospitals sababu hawajasoma human anatomy so they cant work wth human.... Its true that most ya lab technitian wa hospital wanakusnya sample wenyewe.. mfano damu kwenye ila hawa wa sua na ud pia they where not trained kufanya hvyo....
Asante sana mkuu umenipa mwanga wa kumpa
 
Iyo koz zaman walikuwa wanachukuliwa afya Ila saiv naona wapo chin ya wizara ya mifugo kazi wanafanyia TVLA maabara za wanyama.
Shida ni lab za mifugo zinahesbika ila output ya chuo ni kubwa sana... Miaka ya karibuni admission imekuwa kubw sana wana maliza mpaka miambili kasoro na ajira hamna ni changamoto sana.

Sio coz yakusoma this years kwakweli grduate wake wengi wako mtaa na kujiari ni ngumu sana
 
Shida ni lab za mifugo zinahesbika ila output ya chuo ni kubwa sana... Miaka ya karibuni admission imekuwa kubw sana wana maliza mpaka miambili kasoro na ajira hamna ni changamoto sana
Sio coz yakusoma this years kwakweli grduate wake wengi wako mtaa na kujiari ni ngumu sana
Sad story na ukizingatia wamesoma kwa mateso
 
Shida ni lab za mifugo zinahesbika ila output ya chuo ni kubwa sana... Miaka ya karibuni admission imekuwa kubw sana wana maliza mpaka miambili kasoro na ajira hamna ni changamoto sana.

Sio coz yakusoma this years kwakweli grduate wake wengi wako mtaa na kujiari ni ngumu sana

Iyo changamoto.
 
ni vitu viwili tofaut mmoja fundi mashine za maabara mwingine ni mwanamaabara
Yes ni vitu viwili tofauti issue hawa vijana bio tech na lab wa sua wanamaliza wengi na wana wa term under vetenary so wanashindwa kuajilika kwa medical lab sasa si watakufa njaa jamani
 
Biotechnologist.. Hajaandaliwa kuja kuja kupima malaria na HB..wala kupima makund ya damu.. Io ni kazi ya laboratory technician.. Tunamuhitaj biotechnologist kwenye afya kama mtu wa tafiti zaid afanye tafit kuusu mambo mbalimbali ikiwemo maabara za afya.... Idea nying za vipimo vya maabara ni tafit za biotechnologist.... Biotechnologist agundue Kipimo flan lab technician aje atumie icho Kipimo kuwahudumia wagonjwa.. Thats all

Ile sasa kibongo bongo biotechnologist chance chache ila kwa mataifa yaliyoendelea ni watu muimu Sana..

NB: biotechnologist & laboratory technician kila mtu ana kazi zake ila kibongo bongo lab technician ina market kuliko biotechnologist!..
 
So wafight izo few chance zilizopo du.....hatari
 
Unaizungumziaje BSc. Human Nutrition ya hapo SUA

Back
Top Bottom