Habari ndugu zangu.
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu kimoja hapa Tanzania mwaka 2020/2021.
Nipo mtaani kwa sasa lakini hari imekuwa ngumu sana kwani sijapata sehemu ya kujitolea au ajira ila nipate kulipa baadhi ya bills zinazonikabili.
Nimekuja kwenu ndugu zangu nikiamini mnaweza nisaidia ajira/kujitolea na mimi niweze songesha gurudumu la maisha.
Nipo tayari kufanya kazi harali ambayo sijasomea ili mradi nifundishwe namna ya kuifanya vema kwani ninaweza fundishika kwa haraka, Pia nikipata Lawfirm kwa upande wa Sheria nitashukuru sana.
Ujuzi wangu
Kutumia Computer
Kuongea Kingereza/Kiswahili
Uandishi wa habari (sijasomea)
Kwa heshima na taadhima ninaomba msaada wenu wana JF
Shukrani
0787460347
Nipo Dar es salaam