ajira

  1. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani teamwork inaweza saidia kupunguza makali ya ukata wa ajira kwa wasomi wetu

    Mimi ni muumini wa msemo usemao Tanzania kazi ni nyingi sana ila ushirikiano ndio mdogo sana. Kuna watu wanajua sana kuandaa proposal mpaka wakapewa kazi fulani ila ile kazi hawaiwezi. Kuna wale wanaojua kazi mwanzo mwisho ila kuandaa proposal yenye ushawishi hawawezi. Changamoto kubwa...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Ubidhaishaji huleta ajira na kipato kwa kiasi kikubwa

    Ubidhaishaji (Commoditification) Mbali na kitu hiki kuonekana kuwa kinawafanya watu wakae mbali na utu lakini tunapoendea tunapaswa kujua kuwa ubidhaishaji ni chanzo kikuu cha ajira kwa kipindi chetu hiki chenye ongezeko kubwa la watu huku kazi za viwandani na maofisini zikiwa hazitoshi...
  3. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

    Wadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal. Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
  4. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

    Wakuu uvumbuzi mkubwa kwenye teknolojia umeanza kuleta shida. Robot wa kwanza duniani kupewa uraia wa nchi, bidada Sophia raia wa Saudia amesema na yeye anataka kuwa na familia yake, kuwa na ajira na marafiki kama binadamu wengine halisi. Yale waliyo opgopa Elon Musk, Stephen Hawkings na wenzao...
  5. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Vijana kutoka Zanzibar wanapendelewa ajira ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wawapo JKT

    Habari wakuu! Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
  6. kimpango

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha yoyote duniani bure ujiongezee thamani katika soko la ajira na ushindani dunia ya sasa

    kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika kujifunza lugha mbalmbali bure huku ukifurahia .. kupitia LINK : Learn a language for free
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira na uboreshaji wa Ajira Portal

    Napenda kutoa ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira juu ya maboresho mazuri ya tovuti ya kuombea ajira, ila naomba kuwakumbusha kuwa wanafunzi wa VETA (Basic Technician, Certificate na Techncian Certificate) mmewasahau katika Academic qualification hakuna machaguo yao ya name of the programme...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa sasa Udiwani na Ubunge ni ajira, tutegemee changamoto kubwa kuelekea uchaguzi mkuu hasa ndani ya CCM

    Tunakumbushana tu kwamba kwa sasa hapa nchini siasa ni ajira hivyo wabunge na madiwani tegemeeni changamoto kubwa kutoka kwa toleo jipya. Ndio hao akina Harmonize, Diamond, Juma Kaseja, Mrisho Mpoto na wengine wengi wanaopiga jalamba muda huu. Changamoto itaikumba zaidi CCM kwani ndio yenye...
  10. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Amwaga Ajira Kwa Wahitimu JKT

    Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali. Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
  11. Hero

    JamiiForums Tanzania Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Nachokoza mada tu leo, Mimi ni mdau katika elimu yetu ya juu ya vyuo vikuu vya Dar es salaam, hasa katika kuandaa madaktari na waambata wao. Hali ilivyo sasa inatia shaka sana katika utoshelevu wa wakufunzi katika fani za 'biomedical sciences', hasa katika eneo la 'Human Anatomy' (anatomia ya...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ajira za wageni kurahisishwa Ujerumani

    Serikali ya Ujerumani hapo jana umetia saini mpango wa kuwasajiri wakazi wasio katika Umoja wa Ulaya kwa lengo la kuziba pengo la wataalam katika sekta ya ajira. Hatua hiyo inatekelezwa baada ya mkutano wa kilele uliowakutanisha wawakilishi wa makampuni na vyama vya wafanyakazi. Rasimu ya...
  13. Champ

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

    Hawa sio mashabiki wa mpira au wafuasi wa chama fulani cha siasa. Hawa ni wataalamu wa kada ya afya. Madaktari, manesi, mafamasia etc. Wapo kwenye usaili kambi ya Twalipo, Mgulani, wakitaka kujiunga na jeshi,baada ya jeshi kutangaza nafasi za ajira. Hizi ni fani ambazo ilikua nadra sana kumkuta...
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutafuta Fursa badala ya Kutafuta Ajira

    Kwanza nianze kwa kusema kwamba kuajiriwa sio vibaya,kufanya kazi kuajiriwa sio kosa,wala kuishi kwa mshahara sio dhambi.Watu wengi huwa wanakuwa na tafsiri mbaya sana wanpoona watu tunahamasisha watu kujiajiri bila kufahamu kwamba jamii yetu ina uhitaji mkubwa sana wa Job creators so...
  15. aka2030

    JamiiForums Tanzania Ijue ajira mpya Mjini

    Vijana wengi hawajajua kuwa kuna fursa mpya ya ajira mjini ambayo ni marathon sasa jijini Dar na mikoa mikubwa haiwezi kupita wiki bila kuwa na mbio za marathon sasa akijana ambaye huna ajira fanya mazoez ya kutosha ya kutosha kila wiki ukienda kukimbia na ukawa hukosi kwa washindi unauhakika...
  16. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Wapi pana gap la ajira?

    Hello JF, Leo tuisadie serikali yetu kutambua wapi potentially pangetengeneza ajira. Mimi naanza: Serikali inge invest kwenye mental health problems. One in four experiences mental health difficulties. Ila mpaka leo kuna referral hospital tatu tu-Dodoma na Muhimbili, Mloganzila (nimetoka...
  17. Parabora

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye hili la mfumo wa Ajira Portal

    Najaribu kufanya application kwa ajili ya ndugu yangu nafasi ya kazi ninayoapply PSRS lakini alikuwa na Qualification zaidi ya hizo zilizohitajika, nimepunguza wee lakini bado inagoma, ndugu zangu nyie mna ujuzi na hii system kuliko Mimi nijuzeni tatzo nini .wengine hatujawahi kuitumia hii na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya biashara na ajira

    Salam wajomba na mashangazi, Kumekuwa na tabia ya watu kutaka kuumwambfy ujasiriamali/biashara na kuufanya uonekane ni bora zaidi mara elfu moja ya ajira lakini ukichunguza kwa makini advantage iliopo katika ujasiriamali ni ndg sana.kivp? angalia hapa. Ulinganishi wa juu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuna nini TBL? Ajira za wazawa mashakani

    Wakati serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji katika sekta ya viwanda kufanikisha ajenda yake ya Tanzania ya viwanda, bado kuna dalili za sekta hiyo badala la kukua na kuwainua Watanzania baadhi ya makampuni yana muelekeo wa kuwakandamiza wafanyakazi wake Watanzania na kunufaisha...
  20. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Fanya maamuzi magumu wewe msomi usiye na ajira, utafanikiwa sana

    Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira. Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?. Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani. Utafanikiwa...
Back
Top Bottom