ajira

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira waache kuiangalia Serikali, watumie YouTube kujinasua kiuchumi

    Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Safari – Tour Operator General Manager

    First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
  3. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Masters zenye soko kwa mtu mwenye BAEd ni zipi?

    Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Soko la ajira limekuwa gumu kiasi kwamba, ufaulu wa darasani pekee hautoshi kukupa ajira

    Wasomi wameongezeka tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukimaliza kusoma degree kampuni kadhaa zinakusubiria na kukupa ofa nyingi, ili kuendelea kukuza uchumi wetu lazima tuwe wabunifu tufikirie nje ya boksi. Programu hii ya kujengea uwezo wasomi wetu ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania. Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka propaganda ili ionekane imeajiri. Suala la Serikali kudai imeongeza kiasi cha ajira kinakifikirisha...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  7. Majumba saba

    JamiiForums Tanzania Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno! Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja. Hope zinapatikana bila shaka.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mtu akipewa ujuzi huu anaweza kujiajiri Tanzania na hata nje ya nchi kwa ufanisi sana

    Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri. Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
  10. msovero

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ndumbaro umejichanganya sana kuhusu ajira 13,000 za walimu

    Badala ya kutoa majibu yanayo eleweka umeishia kujichanganya huku ukijibu kisiasa zaidi kwa kujikanyaga kanyaga Umesema mmetii agizo la mheshimiwa Rais la kuajiri walimu 13000 hapo hapo unasema mmeajiri walimu 8000 katika awamu ya kwanza. Hata hao elfu 8 hawajafika. wengine wapatao 5000...
  11. alphaMAPHIE

    JamiiForums Tanzania Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  12. Kategele

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Ajira mpya za ualimu

    Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii. Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu. Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu ajira mpya, fahamu haya yatakusaidia

    Mambo muhimu yatakayokufanya udumu kwenye ajira 1. Kamwe usile miwa ya shule (usitembee na wanafunzi). Miwa ya shule ni mitamu ila nakuasa usijaribu kwa usalama wako. 2. Usihoji kila kitu kwa mkuu wa shule hasa MAPATO na MATUMIZI. Wakuu hawapendi watu wanaohoji. 3. Kopa kwa kiasi. Baada ya...
  14. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Ajira Toka Kuzimu

    Simulizi: AJIRA TOKA KUZIMU Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Aliitazama nchi hii kwa mbali sana, aliyekuwa mkuu wake alimuonyesha kwa kutumia kidole kimoja. Ilikuwa ina rangi ya bluu hii ndio ilikuwa nchi kubwa aliyokuwa ameagizwa kumfanyia kazi yake...
  15. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tuliopata ajira za ualimu 27 Novemba 2020 tukutane hapa

    Habari Watanzania wenzangu uzi huu ni maalumu kwa walimu tuliopata ajira za serikali zilizotangazwa tarehe 27 novemba 2020 Napenda kumshukuru rais wa awamu ya tano, rais wa wanyonge, rais wa masikini, rais msikivu, rais anayeahidi na kutekeleza...Asante sana rais kwa ajira hii.. Kwa hakika...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  17. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  18. Honorable GPA

    JamiiForums Tanzania Walimu tuliomaliza 2018 tunatengwa sana kwenye ajira

    Sijui kwanini yaani! Jamani,Lol! Ajira za mwaka jana(2019) tuliambiwa tusiombe kabisa! Mwisho ilikuwa walomaliza 2017! Mwaka huu(2020) tuliambiwa tuombe! Ajira zimetoka lakini waloajiriwa wengi ni physics/mathematics na wachache sana wa masomo mengine! Chuo chetu sidhani kama yupo ambaye...
  19. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  20. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya wapinzani kupata ajira za maana nchini

    Kati ya awamu zote ni awamu hii ndiyo vijana wengi wasio na ajira za kuaminika wamepata ajira kwa kupambana na serikali. Vijana wengi wa Chadema wamepata ajira nzuri na kubwa serikalini jambalo lilikua nadra siku za nyuma. Vijana wa CHADEMA na viongozi wa upinzani wamekua ma DC means...
Back
Top Bottom