Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
5,884
13,226
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sana kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.

Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchungu umeisha woteee.

1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo Ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.

Kwahili naomba nijivue.

Yaliyotokea kwa Lowassa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.

Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.

Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.

Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA duh

I'm DONE.

#YNWA
 
Njaa ni kitu kibaya sana kwa wanasiasa wa kiafrika, chama kama chama kimekuwa na msimamo kuwa hao wabunge hakiwatambui, ila ni wao tu, ndio njaa zao, na hata chama kiwafute uanachama kwa siasa za sasa haitakuwa na maana kwani bado serikali itaendelea kuwatambua tu! Siasa za ki afrika ni ngumu sana!
 
I'm with you.. liverpool F.C...
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png
 
FREEMAN AIKAEL MBOWE ni CCM PURE na ukitaka kuthibitisha hilo angalia mikoa aliyozunguka na Lowassa akimnadi kama mgombea Urais na aliyozunguka kumnadi TL.

Sina uhakika kama alifikisha mikoa hata mitano akimnadi TL, ukiondoa kwenye ufunguzi wa kampeni, jimboni kwake HAI na kwenye ufungaji wa kampeni. Ila kwa EL alikuwa nae kila alipoenda na hii inaonesha ni jinsi gani alikuwa akijua kwamba TL hawezi kutoboa.

People are playing with our minds for their own benefit.

Fanya kazi angalia Familia yako achana na SI HA SA
 
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.

Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.

1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.

Kwahili naomba nijivue.

Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.

Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.

Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.

Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""

Am DONE.

#YNWA
NAJIVUNIA KUTAMBUA WANASIASA ZAMANI SANA NA KUJITENGA NAO... MWENZIO MIMI NAANGALIA MAENDELEO SINA CHAMA SABABU SINA MANUFAA NA CHAMA NINA MANUFAA NA MAENDELEO YATAKAYOFANYIKA... HIVYO POROJO ZAO WANASIASA NAWAACHIAGA WENYEWE... MIMI NAPIGIAGA KURA MAENDELEO SIO CHAMA... ndio umeona sasa mr Liverpool mwenzangu. Poleeee sana
 
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.

Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.

1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.

Kwahili naomba nijivue.

Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.

Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.

Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.

Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""

Am DONE.

#YNWA
Bila Shaka unakunywa castle lite baridi kwa sababu.
Uko Yanga Kama Mimi
Uko Liverpool Kama Mimi
Ulikua chadema Kama Mimi
Umejitoa chadema Kama Mimi
Umechukizwa na kina Halima kukubali yaishe Kama Mimi
Aisee. Tufanye tukutane labda na wewe uko Same
 
Mkuu tunza familia yako, wanao wasije kulia ukiwa baadaye, wanasiasa WaTz hawaaminiki, ilikuwa ni suala la muda tu kwenda...... kuwa busy na siasa ni kupoteza muda, ona sasa walivyo wavua nguo wanachama wao
 
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.

Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.

1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.

Kwahili naomba nijivue.

Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.

Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.

Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.

Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""

I'm DONE.

#YNWA
Na huko ofisini lazima wakushughulikie vizuri sasa!
 
Ukimsema Tundu Lissu

Wenye akili tunajua umeongea kwa hila! Hujui kuwa Hata Mandela aliwahi kukimbia nchi? Au hujui kuwa Ken Sarowiwa aliuwa na utawala kama huu wa CCM kwa kurudi kwao?

Nchi hii imevurugwa yote! Kuanzia CCM, RAIS ni matakataka tupu!!!
Hadi baadhi ya wapinzani
 
Kisiasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu!
 
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.

Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.

1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.

Kwahili naomba nijivue.

Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.

Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.

Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.

Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA "Fuc* off""

Am DONE.

#YNWA
Pointi ipo ila Tundu Lissu unamuonea
 
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sanaa kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu.

Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchunguu umeisha woteee.

1. Viti maaalumu wamepewa.
2. Tundu yupo ubelgiji anakula soseji.
3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi.

Kwahili naomba nijivue.

Yaliyotokea kwa Lowasa nilijipa moyo na kumuona msaliti nikaendelea kukomaa na CHADEMA.

Nilihatarisha utumishi wangu wa umma mara mbili kisa CHADEMA.

Ila kwa yaliyotokea leo DUUH SIASA BASI.

Muda wangu bora nipoteze kushabikia Liverpool na Yanga.
Na bila kusahau kutafuta hela.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tokea 2010 ila kwa mliyofanya leo CHADEMA duh

I'm DONE.

#YNWA
YNWA fellow kop na Wananchi
 
Back
Top Bottom