ajira

  1. CFX

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata ajira jiji la Dar es Salaam

    Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu. Course: INFORMATION TECHNOLOGY...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  3. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

    Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
  4. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

    Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

    Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo. CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo. Chanzo: TBC
  6. Agresive

    JamiiForums Tanzania Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

    Nawasalimu kwa JMT. Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona. Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi. Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa. Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki. Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira. Watumishi waliambia...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hata nje kuna uhaba wa ajira, tukomae hapahapa

  8. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

    Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA Ukweli ni kwamba ajira huenda zikawepo ila siyo kwa watanzania Huenda hujanielewa watanzania huku hatuaminiki, ni vigumu mtu kukuamini kukupa kazi wengi "wezi' hali...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Utumishi, Usahili wenu kufanyikia Dodoma, ni mzigo kwa waomba ajira. Wanatakiwa wawe na pesa ndefu ya kujikimu karibu laki tatu

    Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi. Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa. Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira. Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya hakuna, halafu hela mnakula wenyewe, Good God will pay you

    Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri. Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
  11. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

    Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi. Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
  12. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania Maprofesa tai, wamiliki makaratasi ya mashahada, wasomi wasio na taaluma Vs ajira kwa wageni waliosoma kweli

    Ndugu Wana Jamii, Tumeanza kusoma hisia tofauti, za watu tunaoweza kuwahisi ni wapinga maendeleo au wanaotaka kujaza matumbo yao binafsi kwa kutumia madaraka walioaminiwa na jamii, juu ya kauli adhimu ya Mama Raisi wetu kuhusiana na muelekeo wa maendeleo ya Tz na maendeleo binafsi ya raia...
  13. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataka nafasi 6,000 za walimu kujazwa

    Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki. Rais Samia Suluhu amesema haya.... "Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi...
  14. MANYORI Jr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts. Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan uwaajiri. Idadi yao ni kubwa kwa sababu walitengwa kwenye mfumo wa...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

    Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24 Hii itafanya uchumi uende haraka
  16. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Hivi sasa kutafuta ajira Tanzania ni kazi ngumu sana. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi zaidi wanatafuta ajira lakini wanakosa connection ya watu either hafahamiki na watu wenye potential au hata baadhi ya machimbo ya kwenda kujishikiza hayajui. Unakuta mtu kamaliza chuo hana hata pa kuanzia au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenzetu mliotoka chuo mkajiajiri hapo hapo mlifanyaje? Au mkaajiriwa kwa miaka hii ya ajira ngumu?

    Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts. Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani. sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Rais Samia Suluhu dua njema, afungue milango ya ajira kwa vijana maana ishaanza kufungua

    Habari wadau! Wiki hii naona kuna malaika wa ajira anatembelea nyumba hadi nyumba. Taratibu milango ya ajira kwa vijana imeanza kufunguka hata kabla ya mama kubonyeza ile batani lakini automatically imeanza kufunguka. Naona vijana wengi hata wale wapiga kelele wa humu wameitwa kazini. Binafsi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tupunguzie mateso, tumecheleweshwa sana ajira mpya

    "SIKIA SAUTI YA WANYONGE': Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa. Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mifugo. Tangu mwaka 2015,tupo mtaani tunahangaika,Tena sisi wanufaika wa HESLB tunazalishiwa deni...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Wafanyakazi Uingereza walia na mfumo wa teknolojia wa ufahamu bandia katika ajira

    Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
Back
Top Bottom