Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 889
- 1,515
Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏
Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka kupatiwa ufafanuzi, Aidha, tutaendelea kutoa majibu kila mara kwa maswali tofauti kadri yalivyotufikia.
Kwa maelezo kamili tafadhali fungu PDF iliyoambatanishwa hapa chini.
1. Je, ni mambo gani napaswa kuzingatia wakati wa kuandaa wa Wasifu binafsi (CV)?
2. Masuala yapi napaswa kuzingatia katika kuandika barua ya maombi ya kazi ?
3. Je, naweza kufahamu wajibu na vigezo ninavyopaswa kuvizingatia kama mwombaji wa nafasi za ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (masharti ya jumla).
4. Je, Mwombaji wa nafasi ya kazi anatakiwa kutekeleza vitu gani kabla ya kuwasilisha maombi ya kazi kwenye Mfumo wa Sekretarieti ya Ajira ?
Aidha, endapo mstahiliwa ana changamoto ya kitaalamu yaani inayohusiana na mfumo anaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0735-398259 na endapo ni suala la malalamiko anatakiwa kuwasiliana nasi kwa namba 0736-005511.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Sekretarieti ya Ajira- 9/10/2020

Pia wadau wa ajira bofya link kusoma Tahadhari ya kuchukua dhidi ya matapeli wa ajira