ajira

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ina maana katika hii Serikali ajira ni kwa walimu na watu wa afya tu?

    Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii. Ili tuache utani katika swala la ajira. Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
  2. Tembele

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Ajira - ECOACT Tanzania

    INTERNSHIP OPPORTUNITY Position: Accountant cum Sales ECOACT Tanzania, is a social enterprise based in Tegeta DSM, Our core business is transforming plastic garbage to manufacture plastic timbers used for building, construction ad well as furniture making. Requirements a) Diploma/ degree in...
  3. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
  4. Sonship

    JamiiForums Tanzania Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA ZA PANYA Sehemu ya kwanza. Utangulizi Mimi ni mtanzania mzaliwa wa Mbeya. Kwa sasa umri wangu ni wa kutosha kidogo kwa sababu nipo duniani tangu miaka ya 1980. Wakati nasoma shule ya msingi kwenye miaka ya 1990 hivi tulikuwa tunaimba nyimbo maarufu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo tusio na ajira tunakusudia kuitisha maombi ya kitaifa kuiombea serikali iwe sikivu na elevu zaidi

    Tatizo la ajira za umma huanza taratibu na baadaye kuwa kubwa na sugu kabisa. Lakini hata hivyo, zipo njia sahihi za kufanywa na jamii ikiongozwa na serikali ili kukabiliana kikamilifu na tatizo hili. Tangu awamu ya 5 ya Utawala wa serikali,na hata awamu hii ya 6,tunaona suala la ajira kwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira za viwandani

    Natumaini mko salama ningependelea kwa yeyote mwenye connection au ushauri wa kiwanda gani naweza kupata ajira haijalishi ni ya muda mfupi au laa. Nitafanya kazi yeyote itakayokuwepo japo sina professional yeyote niliishia tu kidato cha nne. Nipo dar es salaam Mawasiliano:+255 743 424 506
  9. kalemauji

    JamiiForums Tanzania Fao la kutokuwa na ajira

    Habari zenu wadau? Wadau naomba kuuliza kwa wale wenzangu na Mimi tunaolipwa fao la kutokuwa na ajira, naomba kuuliza kwa wengine je mmeshalipwa malipo ya mwezi huu wa nne maana kwangu mpaka tarehe ya Leo bado sijaona salio likisoma naombeni majibu wadau. Ahsanteni sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali na Ajira

    Muda/umri wa kustaafu Serikalini ikiwemo sekta binafsi. Wafanyakazi wote wapunguziwe umri wa kustaafu na kuwa walau miaka 55 badala ya 60, siku hizi life span ya mwanadamu imekuwa ndogo, hii itasaidia watoke na walipwe stahiki zao mapema na kuzifurahia wakiwa na nguvu angali wako hai. Pia hii...
  11. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  12. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Sipendi niliowaajiri waendelee, yaani wafanikiwe na ku-move on. Napenda wabaki wanyonge hivyo hivyo

    Binadamu amezaliwa na evilness yaani tangu yumo tumboni mwa mama yake Nilikuwa nalaumu sana kwanini wafanyabiashara wakubwa wanakuwa makauzu sana au wana roho fulani hivi. well..hii tabia hujengwa kutokana na dissapointments wanazokutana nazo kutoka kwa watu waliowaajiri, tena sanasana ngozi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tafadhali ajira zetu sio njugu tunahitaji umakini kuzigawa

    Waziri mhagama amewaka kisa wageni kucheleweshewa vibali vya kazi, ni vyema akatueleza ni wageni wapi? wanafanya kampuni gani? ujuzi wao ukoje? sisi tumeshindwa hata kufunga gear box za udart, vijana wamekimbilia kwa wachina nako mnaleta wageni sasa wakafanyekazi wapi? hata huko jkt walikokuwa...
  14. benwise

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upoje katika kutoa Ajira ndani ya halmashauri za miji?

    Najua humu jukwani kuna kila aina ya watu toka katika sekta zote, ninaamini hata hili nitajibiwa kikamilifu. Napenda kujua zile nafasi mbalimbali za vibarua zinazotangazwa na halmashauri za miji mfano kinondoni,tabora nk,hasa vibarua wanaopewa mashine kwa ajili ya ukusanyaji mapato kwenye...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jinsi kukosekana kwa ajira kunavyoharibu akili za Wahitimu

    Umetumia kama milioni 10 hivi ukiwa chuoni ukitegemea ipo siku utaajiriwa ila hadi sas hakuna dalili. Mbaya zaidi wale waliofurahia mikopo ya takribani milioni 12 hadi wamalize elimu zao kwa sasa wana madeni mazito maana kuna penati ya asilimia 10 na tozo ya asilimia 6 kila mwaka. Mttani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya viwandani

    Habari za jioni wanajamvi, Nahitaji mchango wenu kwenye hili, Mimi ni mhitimu wa chuo kwenye course ya Bsc in industrial engineering management, natafuta kazi kitengo cha quality control. Ninamatumaini kutoka kwenu
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli

    DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  18. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  19. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  20. CFX

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata ajira jiji la Dar es Salaam

    Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu. Course: INFORMATION TECHNOLOGY...
Back
Top Bottom