Wakuu,
Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini Dar Es Salaam. Eneo linalodaidaiwa ndipo ajali ilitokea baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana...
Leo ni Siku ya Kuwakumbuka Wahanda wa Ajali za Brabarani duniani. Umoja wa Mtaifa umeonesha vifo vya ajali za barabarani vimefikia milioni 1.35. Na kuonekana madhara ya ajali yanaua zaidi watu wa miaka 5 hadi 29.
Madhara hayo yameonekana zaidi kwa nchi zinazoendelea. Watu waliokuwa hatarini ni...
Inakuwaje WanaJF?!
Watu wengi wamejiuliza maswali mengi na kushangaa inakuwaje Rolls-Royce Wraith Muingereza lenye thamani ya dollars za kimarekani laki tano (madafu 1.2 billion).
lenye safety features kibao na mbwembwe za kila aina ligongane uso kwa uso na gari ndogo la mjapan Honda Fit bei...
Watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la Abood (T 266 DBV) walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam kupinduka mara mbili katika eneo la Ruvu wilayani Kibaha.
Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wameiambia TBC kwamba ajali hiyo imetokea majira ya saa...
Ni kiungo wa nkana crispin mulenga kafariki jana kwa ajali kacheza juzi meci ya charity shield dhidi ya indeni team iliopanda daraja ambayo anachezea mcheaji wa zamani wa utoplo fc Juma abdul,kwenye picha huyu hapa yuko mbele ya ramadhani singano messi
Watu 10 Wamefariki dunia na Wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospital teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba.
Mganga mfawidhi wa hospital hiyo, David Mapunda amethibitisha.
Dar es Salaam. Rais wa...
Mawakala wa CHADEMA waliopoteza maisha katika ajali ya gari wamefi kia sita. Majeruhi wawili wanaendelea kutibiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga.
Ajali hiyo ilitokea Jumatano na ilihusisha gari aina ya Noah lililokuwa likisafirisha mawakala tisa wa Chadema, kwenda...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?
Sijataka kuongelea kuhusu Kenya kwa maana wadau wataanza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye.
======
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
Ajali mbaya imetokea asubuhi hii jijini Dar es Salaam ikihusisha magari mawili moja likiwa Scania Semi - Trailer na Daladala, inasemekana abiria wa daladala wamejeruhiwa na wengine kupoteza maisha.
Pamoja na kuwekwa taa za kuongozea magari, eneo hilo la Chang'ombe linasemekana kuwa hatari...
Bwana Ado Shaibu amepata ajali huko Tunduru muda mfupi uliopita. Yupo salama na amekimbizwa hospitali
Chanzo
Facebook account ya gazeti la habari leo
===
Katibu Mkuu wa...
Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala
====
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.
Kwenye gari...
Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera.
Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.
Maendeleo hayana vyama!
Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha wasanii watatu ambao ni Luludiva, Belle9 na Bonge la Nyau ambao wamepata ajali hii leo wakati wakitokea mkoani Iringa wanapata matibabu haraka.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Humphrey Polepole kupitia ukurasa...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kimepokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya iliyowahusisha Wasanii Belle 9 na Bonge la nyau.
Polepole amewatakia uponyaji wa haraka na kwamba chama kinafuatilia kwa karibu tukio na chanzo cha ajali hiyo.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
===...
Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali?
Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva ziwepo spring ngumu za vyuma zile za mzunguko zinazoweza kubonyea ikitokea mgongano zisizopungua kumi...
Basi la kampuni ya Ally's linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza lateketea kwa Moto wakati linakaribia Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.