Gari la mtangaza nia wa CCM, Enock Bwigane lapata ajali. Dereva aaga dunia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
NDUGU yangu NAJUA hunijui
Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni

POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI

Aliefariki ni dereva wake
===
1595230177959.png

Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock Bwigane ambaye pia ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Rungwe imepata ajali na dereva wake Godwin Bakamba amefariki dunia.

Enock Bwigane amesema “gari yangu imehusika katika ajali ndugu yangu aliekuwa kama dereva wangu Godwin Bakamba amefariki dunia katika ajali iliyotokea usiku, katika tukio Mimi sikuwepo katika tukio la ajali husika’

‘Alinileta nyumbani akawa anaenda kwake ndio akapata ajali alikuwa anaelekea nyumbani kwake, tupo tunafuatilia taratibu za mwisho ili tuweze kumpuzisha leo” Enock Bwigane.
 
Naijua Tukuyu, ni nyumbani kwetu kabisa. Nawajua nje ndani, Enock awe mwangalifu sana. Ajitahidi kushika Mungu kwa uaminifu. Bahati Mbaya hakujawahi kutokea Mwanasiasa Mcha Mungu kwa uaminifu.
YAAAANI

HIZI ZAMA.UKISIKIA UBAKI WA MOTO AMA BARI NDIO SASA UKIWA VUGUVUGU UTAJUA MTIKILA YUKO WAPI KAMA UJAMLILIA AKUFUNGULIE MLANGO WEWEW
 
Braza wetu wa Godwin Bakamba aisee kwa katuumiza wengi.

Mara ya mwisho tumemeet KINYEREZI DAAH.


R. I. P BRO
 
2015 mtia nia chunya nae alipata ajali mbaya akafariki huko Mbeya mmmhh... CCM Hoyeeee
 
Back
Top Bottom