Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,308
1,423
Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.

Naomba udhibiti huo uendelee lisiwe jambo la mpito, namuomba mwenyezi MUNGU azidi kuwajazia wingi wa hekima na mafanikio katika kuzitenda kazi zenu, muendelee na kubuni mbinu zingine za kudhiti ajali za barabarani ili waTanzania tuishi maisha yenye furaha na kujiamini, asanteni sana.
 
Hakuna kitu kinachoitwa ajali zimeisha kwani ajali haitabiriki na haina trendy maalum na ajali hutathminiwa kwa kipindi ulichokimaliza sio kijacho
 
Wewe uko vizuri. Watu huchanganya vitu vingi. Akiksbwa na kuporwa anasema kaibiwa. Bodaboda akikimbia akajisokomeza nyuma ya daladala nayo wanaaema ni ajali...
 
Mwendo kasi ulikua unachangia wingi wa ajali zinazoweza kuepukika.
Kauli ina utata Sana hii, mwendokasi ni zao la umbali gawanya kwa muda , speed =distance /time, manapokuwa mnahusisha mwendokasi kusababisha ajali at least muwe na figures za kudefine huo mwendokasi, maana hata 10km/h nao ni mwendokasi.

Sent
 
Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa raisi wetu John Pombe Magufuli,kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendo kasi wa mabasi yaendayo mikoani,kwa kumulika vitochi na kuratibu mda wa kuondoka na kufika,na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.
Naomba udhibiti huo uendeleelisiwe jambo la mpito namuomba mwenyezi MUNGU azidi kuwajazia wingi wa hekima na mafanikio katika kuzitenda kazi zenu ,muendelee na kubuni mbinu zingine za kudhiti ajali za barabarani ili waTanzania tuishi maisha yenye furaha na kujiamini,asanteni sana.
Naona umeamua tu kutoa credit the way unavyojisikia ! sio mbaya Ila at least get your facts right.
July pekee nimeisikia ajali tatu za basi !

Sent
 
ila ile ya mbeya ila kona inafanana ya kona ya kufika mkanyageni.Nakiuliza tu imeshindikana kuipunguza ukali.ile kona kama hujazingatia spidi ugeni unaokotwa polini.
 
Kauli ina utata Sana hii, mwendokasi ni zao la umbali gawanya kwa muda , speed =distance /time, manapokuwa mnahusisha mwendokasi kusababisha ajali at least muwe na figures za kudefine huo mwendokasi, maana hata 10km/h nao ni mwendokasi.

Sent
mwendo wa kasi hapo vipi
 
Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa raisi wetu John Pombe Magufuli,kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendo kasi wa mabasi yaendayo mikoani,kwa kumulika vitochi na kuratibu mda wa kuondoka na kufika,na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.

Naomba udhibiti huo uendeleelisiwe jambo la mpito namuomba mwenyezi MUNGU azidi kuwajazia wingi wa hekima na mafanikio katika kuzitenda kazi zenu ,muendelee na kubuni mbinu zingine za kudhiti ajali za barabarani ili waTanzania tuishi maisha yenye furaha na kujiamini,asanteni sana.
Tochi pamoja na kupeleka madereva NIT na ving'amuzi huu mpango ulianza wskati was awamu ya nne
 
Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa raisi wetu John Pombe Magufuli,kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendo kasi wa mabasi yaendayo mikoani,kwa kumulika vitochi na kuratibu mda wa kuondoka na kufika,na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.

Naomba udhibiti huo uendeleelisiwe jambo la mpito namuomba mwenyezi MUNGU azidi kuwajazia wingi wa hekima na mafanikio katika kuzitenda kazi zenu ,muendelee na kubuni mbinu zingine za kudhiti ajali za barabarani ili waTanzania tuishi maisha yenye furaha na kujiamini,asanteni sana.
We inaonekana ni wale waogapa wakupenda kusafiri mchana. Hivi ulishawai kusafiri usiku ukaona jinsi bas zinavyotembea? Ama ulishawai kupanda premiere ya mwanza to mbeya?
Ebu kabla ujasema hivyo jaribu kusafiri usiku ndio utajua speed ipo pale pale. Ajari huwa haziishi labda kupungua tu

Na kumbuka ajari haitokan na speed tu zipo sababu nyingi zinazosababisha ajari
 
Pongezi kwa rais magufuli
20200718_155553.jpg
 
Back
Top Bottom