Ajali: Mwendokasi lagonga bodaboda na kumuua Tip Top

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,014
Ajali imetokea muda huu.

Ni katika stand ya mwendokasi Tip Top manzese. Ajali huyo ilihusisha bodaboda na gari ya mwendokasi.
Taarifa kutoka eneo la tukio ni kwamba bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia. Gari la mwendokasi likakosa break na kumgonga muhusika.

Chanzo. Mimi mwenyewe
 
Mwrndokas wawe makini mda mwingine
Kama pale kituo cha gerezani....kwa nini wasiweke kivuko watu wawe wanapita juu kuingia au kutoka kituoni .....pale basi likija spidi ni hatari MTU akijichanganya basi tena...fikisha ujumbe kwa mkuu wa BRT.
 
Naomba kiwasilisha.....
IMG-20200824-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom