Husna Mwambiko wa UVCCM aliyegombea Ubunge asema anaamini hajarogwa ila amepata ajali ya kisiasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,922
141,888
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.

Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilichomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia.

Husna ni mjumbe kutoka mkoa wa Lindi.

Chanzo: Clouds 360

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
 
Yule hata kwa udiwani bado sana angeanza na ujumbe wa mtaa apande mdogo mdogo... ni white paper sana
 
HAKULOGWA ila hajui hata majukumu ya mbunge, hao ni ma-shankupe yanabebwa na mahawara zao kwenye siasa na kujiingiza huko bila kujua wanataka nini.

Hajui shida za watanzania, poor Husna, wewe achana na siasa, kaa ulee watoto acha kutoa mimba za vijana
 
HAKULOGWA ila hajui hata majukumu ya mbunge, hao ni ma-shankupe yanabebwa na mahawara zao kwenye siasa na kujiingiza huko bila kujua wanataka nini.
Hajui shida za watanzania, poor Husna, wewe achana na siasa, kaa ulee watoto acha kutoa mimba za vijana
CCM haihitaji ujue matatizo ya wananchi inahitaji ujue kushangilia kwa kupiga meza na vigeregere.
 
Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.

Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilivhomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM hoyeee kigugumizi kilimuachia.
Husna ni mjumbe kutoka mkoa wa Lindi.

Source Clouds 360

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ila CCM ni WACHAWI SANA
 
Ni ajali gani inayosubiri sehemu zote za kujieleza unajieleza vizuri,unapofika hatua ya kuomba kura ndio inatokea?.
 
Back
Top Bottom