Katibu mkuu ACT, Ado Shaibu apata ajali

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,270
12,310
Bwana Ado Shaibu amepata ajali huko Tunduru muda mfupi uliopita. Yupo salama na amekimbizwa hospitali

Chanzo
Facebook account ya gazeti la habari leo
===

1601699327366.png
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amepata ajali ya gari kwenye Jimbo la Nanyamba Mkoani Mtwara ambako alikwenda kumnadi Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo Colleta Kadinda, Ado ametoka salama kwenye ajali hiyo.

Ado Shaibu licha ya kuwa Katibu Mkuu wa ACT pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ticket ya ACT.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom