Yapo mambo wanasiasa husitiriana. Mfano ni ajali iliyomuumiza mguu ndugu Mbowe

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Kwa kweli kwa hilo la mguu wa Mbowe linafikirisha mno!

Ukweli ni kwamba wana siasa ni binadamu kama wengine na huamua pia kusitiriana kwa mambo kadha wa kadha ambayo kwao ni ya aibu.

Mfano: Kuumia kwa mguu wa ndugu Mbowe ni wazi vyombo vya dola vimeaswa na kuelekezwa viachane nalo kwa sababu ni bayana ni jambo la aibu kwa Mbowe.

Pata picha laiti ingekuwa ni kweli bwana mkubwa ingekuwa ni kweli alishambuliwa kama tulivyotaka kuaminishwa!

Stara ni kwa wote.
 
Mkuu Wanasiasa Ni watu Kama wewe na wengine wanabusara zaidi hata ya wewe,
Kwahiyo usemacho nikweli hata mhusika hajataka kuliongelea Tena baada ya kutoka hospital maana ilikuwa mistake ya pombe na wala siyo shambulizi.

#Siasa siyo uadui Wala chanzo Cha kuvunjiana heshima. Ikumbukwe Kuna maisha nje ya Siasa.
 
Si Bora kusitiriana Ila siyo kusingizia wamevamiwa na wahuni, wamuogope Mungu Kwa urongo wao! La sivyo yatawakuta kweli, na siku yakiwakuta tutapuuza tu Kwa sababu ya urongo wao wa siku zote!!
 
Back
Top Bottom