Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala
====
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.

Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (CHADEMA), Mheshimiwa Salum Mwalimu, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi, Omary na Dereva, Haule.

Gari ilipinduka kuzunguka mara tano.

Mpaka sasa wote tupo salama, labda kama kutakuwa na maumivu ya ndani.

1.jpg
2.jpg
 
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Masalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.

Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (Chadema), Mheshimiwa Salum Mwalim, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi, Omary na Dereva, Haule.

Gafi ilipinduka kazunguka mara tano.

Mpaka sasa wote tupo salama, labda kama kutakuwa na maumivu ya ndani.

IMG-20200921-WA0037.jpg
IMG-20200921-WA0039.jpg
 
Back
Top Bottom