Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,210
Reaction score
6,774
Leo nlikuwa na Jeep mitaa flani town.nikawa na mambo yangu mengi kichwani maana next week natakiwa kwenda Canada na Norway sasa sijajua protokali zake kwa sasa. Nmeangalia kwenye Calendar ndo naona hiyo Issue.

Nikiwa sina hili wala lile kumbe kwenye zebra kuna jamaa alikuwa anaendesha VW yake .nikamgonga nyuma.

Jamaa hakutaka kusababisha foleni aka indicate anaingia kushoto nami nikaindicate hivyo akapark akashuka anacheka sana.(nadhani alifurahi kugongwa na gari jeep)

Yeye: bro... Vipi upo salama?
Mimi: nipo salama ndugu yangu pole sana.
Yeye: Usijali bro mi nipo ok kabisa.
Mimi: aisee...mambo mengi kichwani nikajisahau kuangalia mbele
Yeye: ooh kawaida bro ndo barabarani...upo ok lakini?kama vipi park gari nikusogeze hospital ukacheck afya kwanza.

Imagine muda huo wote tunaongea jamaa hajaaangalia gari yake imeumiaje.anaangalia afya yangu kwanza😁

Nikamhakikishia nipo ok. Basi tukabadilishana business cards tukaagana kwa furaha na kuonesha urafiki.jamaa hakuangalia hata gari yake nami simuangalia gari yangu imeumiaje.

Haya magari yapo tu ndugu zangu...kikubwa ni afya.jamaa alikuwa concerned na nini kinaweza kuwa sababu ya mimi kumgonga.

Nikakumbuka nliwahi mgonga jamaa mmoja alikuwa na chombo cha usafiri Subaru.nlikuwa na ile Ford Ranger nliyouza...jamaa alishuka amevimba mashavu yanamcheza kapark gari katikati ya barabara kawasha hazard.kasi sana kwenda kukagua usafiri wake umeumia kiasi gani.

Akaja kwangu anafoka..."unaendeshaje huangalii mbele?...subiri traffic aje hapa apime".nlishusha kioo kidogo nikamsalimia "habari yako ndugu?" Akajibu tu "mbaya" nlimuuliza nini shida unaumwa? Akanijibu "nikuulize wewe uliyenigonga" basi nilimwambia tu "usijali ndugu yangu" weka gari pembeni tusiweke foleni.

Jamaa alikuwa mkali anataka aje traffic.nlimuuliza traffic wa nini?...eti apime.hapo nlimwambia tu anipe gharama za matengenezo.akashtuka na kuropoka hapo rangi tsh 300,000. Nikamwambia sawa nipatie account number yako nikurushie.akashangaa hapo hapo akasema "na 100,000 ya kuoshea gari ing'ae nikamtumia 500,000. Akaomba biznez card nikamwambia sina.

Akataka kunipa yake.nikamwambia itunze ntachukua siku nyingine.akaomba namba ya simu nilimjibu kuwa haipo hewani.nikaondoka.

Kuna tofauti sana mnapogongana wenye magari na mnapogongana mwenye gari na mwenye usafiri. Sisi wenye magari tunaangalia hali ya mwendesha gari.ndo tunajali hiyo kimwili na kiakili.gari siyo issue kabisa.halafu tunaangalia huko mbele tuta kuja kukutana ktk mazingira gani.hayo tu.tunafahamiana kwa styles mbalimbali.😁
 
Duu mkuu nakukubali sana kwa uzi zako

Kiduku Lilo kumbe wewe ni nyundo, unagonga tu wenzqko
 
Back
Top Bottom