Huu ni ugunduzi wangu utaookoa abiria wasife ktk ajali hasa kwenye magari yenye bonet 'pua' kama VX V8, Land Cruiser za Polisi na kadhalika

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali?

Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva ziwepo spring ngumu za vyuma zile za mzunguko zinazoweza kubonyea ikitokea mgongano zisizopungua kumi zenye uwezo wa kuhimili kishindo hapo tutaokoa dereva na abiria waliomo ndani,kwenye mabasi dawa naitafuta kwa msaada wa Mungu.

Makampuni yanayounda magari mkiona ni idea nzuri basi mniandalie us dollar elfu hamsini.ili nimgaie na mwasisi wa jamii forums.

Asante
 
Kwamba hizo springs zitaondoa movements baada ya impact. Hapo ndipo zitaongeza zaidi maana springs huwa zinanesa. Badala ya impact kutokea dereva akarushwa mbele kwa action kisha akarudi nyuma kidogo kwa reaction, atarushwa mara nyingi zaidi.

Na hakuna kampuni inalipia theory hata ingekuwa nzuri maana hii sio. Itakuwa Physics hata ya kidato cha pili hujasoma, kama ulisoma basi hii project unatania.
 
Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali?

Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva ziwepo spring ngumu za vyuma zile za mzunguko zinazoweza kubonyea ikitokea mgongano zisizopungua kumi zenye uwezo wa kuhimili kishindo hapo tutaokoa dereva na abiria waliomo ndani,kwenye mabasi dawa naitafuta kwa msaada wa Mungu.

Makampuni yanayounda magari mkiona ni idea nzuri basi mniandalie us dollar elfu hamsini.ili nimgaie na mwasisi wa jamii forums.

Asante
Yaani kizembe tuuu..
 
Mzungu kaweka airbags,mbongo vyuma tena spring,haya sasa kichaa kaona mwezi.
ukishangaa ya musa utayaona ya firauni jamaa nadhani kazinduka usiningizini anatusimulia njozi zake pale dodoma nasikia kuna hospitali maalum kwa watu kama yeye na matibabu ni bureee

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maelezo yako hizo zitakuwa ni coillspring,kama ulivyoeleza hizo spring zitakuwa na nguvu sana,ikitokea ajali dereva atarushwa mpaka nje kupitia kioo cha nyuma.kama kuna gari nyuma na ipo spindi itamkanyaga.
 
Msimlaumu sana wadau,labda hajui zile aibags pale mbele ya gari zinafanya kazi gani...
 
Back
Top Bottom