Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza...
Nilisoma kwenye Raia mwema kuwa baada ya uhuru kulikuwa na mpango wa kuunda shirikisho la Africa. Ilitokea tofauti kubwa ya mawazo ya jinsi ya kuanza umoja huo.
Kwame wa Ghana alitaka shirikisho lianze mara moja. Nyerere akasema hapana, tuanzishe kwanza mashirikisho ya kikanda na yakikua na...
Below is the list of most streamed artist in Africa. Why Kenya with 90% internet penetration has no single representative while Tanzania with 46% internet penetration has 3 artists.
Hii ni ushahidi tosha kwamba takwimu zenu za watumiaji wa internet za Kenya are very well cooked.
N. B:
content...
Africa is one of the most stunning continents in the whole world.
Forget about what western media show you bout Africa they have their own hideous agenda on Africa.
There’s so much to see and do in Africa , you’ll be spoilt for choice in Africa.
There are 54 countries in Africa, so planning...
Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania.
Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
Na sasa hivi kwa shughuli zinazoendelea kwenye nchi hii, mtahangaika sana kujaribu kutufikia ila pengo linazidi kuongezeka. Mjitafakari wapi mlikalia kuti kavu.
=======
Kenya has been ranked among the most improved African countries in the 2020 Ibrahim Index of African Governance (IIAG).
The...
Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.
Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo.
Hapa wazungu wamewa-betray...
Wakenya tulipigania sana second liberation in the 1990s hadi sahii tunaenjoy uhuru wa kunena na kuchagua, ila nalilia sana mataifa mengine ya Afrika jinsi wanavyowatenda wapinzani wa serikali. Mbona msipee watu uhuru wa kuchagua? Nchi yetu sahii tumechoka kuhost political asylum seekers. Get...
Doctors with Africa CUAMM Jobs
Background:
About Doctors with Africa CUAMM Registered Trustees
Doctors with Africa CUAMM Registered Trustees is a health organisation that implement health projects to help availability of quality healthcare especially to the most vulnerable. CUAMM Registered...
Kenya is the second most innovative in sub-Saharan Africa, behind South Africa and ahead of Mauritius, according to the World Intellectual Property Organisation’s Global Innovation Index 2019.
Ease of doing business ranking (EAST AFRICA)
1. Kenya — Rank 56
2. Uganda — Rank 116
3. Tanzania —...
In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame.
President Paul Kagame has emphasized that the relationship between Africa and Europe should base on mutual...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine za ziada zilitumika?
Orodha ifuatayo ni baadhi tu...
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?
Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
Thomas Sankara , a man who was a threat to France’s interest in Africa later killed by his closest friend.
Thomas Sankara
Viewed by supporters as a charismatic and iconic figure of revolution, he is commonly referred to as “Africa’s Che Guevara”. In his 4 years of leadership.
– He vaccinated...
Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Africa (AU) baina ya mataifa yanayozungumza lugha ya Kiingereza na yale ya Kifaransa.
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
UTANGULIZI: MZOZO WA ANGLOPHONE - FRANCOPHONE NCHINI...
Habarini wakuu.
Iko hivi, utafiti wa dawa hadi ikaingia sokoni ni gharama kubwa sana na una mlolongo mrefu balaa.
Hugharimu mabilioni ya dola na makumi ya miaka.
Makampuni mengi kabla ya kufanya utafiti wa dawa kwanza huangalia kama italipa? Je wanaoumwa wanaweza kununua dawa? Hii imepelekea...
President Uhuru Kenyatta during a previous meeting
TWITTER
Kenya has been ranked among the most improved African countries in the 2020 Ibrahim Index of African Governance (IIAG).
The ranking done by the Mo Ibrahim Foundation measures and monitors governance performance in African countries...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.