africa

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Magufulification of Africa is real

    Many Tanzanians are lining up on the streets waving goodbye and fairwell to the late Dr John Pombe Magufuli. The demise of Magufuli has risen the spirit of PAN AFRICANISM. THE LEADER OF THE POOR AFRICANS HAS GONE IN A HEROIC STYLE! LONG LIVE MAGUFULI ....! #YATIMAWAPOIMARA
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa africa kutatokea tena wanamuziki hawa wataalamu? Franco na oliver ngoma?

    Wandugu japo mimi sio mhenga lakini huwa nina mtindo wa kusikiliza nyimbo za zamani hivyo nimeskiliza nyingi sana hata nilipowahi kuwa dj ujanani nilizipiga na mzee wangu anazo nyingi. Sasa kwa upande wangu nauliza kutawahi kutokea tena wasanii wataalamu africa kama Franco na huyu wa majuzi kati...
  3. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Magufuli the story of Africa

    MAGUFULI THE STORY OF AFRICA. Leo 20:30hrs 18/03/2021 Our Father John Pombe Magufuli,You took us on the top of Mount Kilimanjaro and make us shine beyond our borders,You took us to the Center of the World where the white people could respect us,You brought hope in the street of Wanyonge na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ofisi za serikali acheni roho mbaya

    Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache: Mtendaji Vizazi na vifo Mahakama ya mwanzo Mahakama kuu Bank PSSF Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
  5. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

    Wakati wana wa Israel wanaelekea kanaani kuna Muisrael alietwa Kora yeye kazi yake kubwa ilikua kupinga safari ya Musa na wana wa Israeli. Bila Mungu kuingilia kati kumuangamiza Kora huenda mpk leo wana wa Israeli wasingefika kanani. Pia inanikumbusha hadithi ya Gadaffi na wa Libya...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Tanzania’s economy grew the fastest in Africa in 2020, says Citi

    Tanzania is likely to emerge in the coming months as the fastest growing economy in Africa in 2020. This projection is based on data collected by Citi Researchers for Q3, 2020 which puts Tanzania’s Gross Domestic Product(GDP) growth at 4.8% in 2020. “In part, this reflects that the country has...
  7. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The largest cities in Africa 2021

    1)Lagos - Nigeria 🇳🇬. 14.35 million people 2)Kinshasa - DR Congo🇨🇩. 14.34 million people 3)Cairo - Egypt 🇪🇬. 10. 1 million people 4) Giza - Egypt 🇪🇬. 8.9 million people 5)Dar es Salaam - Tanzania🇹🇿. 6.7 million people 6)Johannesburg - South Africa🇿🇦. 5.84 million people 7)Khartoum - Sudan🇸🇩...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKIA, Moi International Airport win best airports in Africa award

    https://aci.aero/customer-experience-asq/asq-awards-and-recognition/asq-awards/current-winner-2020/best-airport-by-size-and-region/ Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), Nairobi and Moi International Airport (MIA), Mombasa have been recognized for excellence in customer service. Airports...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Maziwa/lakes makubwa zaidi Afrika

    1. Tanganyika kilomita za ujazo 18,900. 2. Nyasa Kilomita za ujazo 7,725 3.Victoria 2,700 4. Kivu 567 5. Turkana 204 Uzi tayari.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Afrika ilivyo tajiri kwa rasilimali, ingekuwa vyema tuwe na Serikali ya Umoja ndipo ili tuwe matajiri

    Kukosekana kwa serikali ya umoja ambayo itathibiti political instability, usaliti ,uzalendo kwa bara letu kunatufanya tuwe maskini.Nchi za magharibi zimekuwa zikitugawa ili waendelee kuiba rasilimali zetu na wao kuwa super power economically. It is time tuwe na serikali moja itakayoongoza...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  12. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

    Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa. Source: world press freedom index. Year. 2020. 1. Namibia 2. Cape varde 3. Ghana 4. South Africa 5. Burkina Faso 6. Botswana 7. Senegal 8. Madagascar 9. Mauritius 10. Niger 11. Seychelles 12. Cote D' ivore 13. Malawi 14. Tunisia...
  13. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe barani Afrika

    Kwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni.. 1. South Africa 2. Gabon 3. Namibia 4. Nigeria 5. Uganda 6. Rwanda 7. Burundi 8. Sierra Leone 9. Botswana 10. Tanzania. Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni: 1...
  14. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania airports among the busiest in Africa

    Busiest Airports in Africa ranked according to number of flights daily 1. Johannesburg Airport South Africa🇿🇦 188 flights 2. Cairo Airport Egypt 🇪🇬 111 flights 3. Addis Ababa Airport Ethiopia 🇪🇹 99 flights 4. Capetown Airport South Africa🇿🇦 82 flights 5. Lagos Airport Nigeria🇳🇬 78 flights...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania It's time for Africa to rein in Tanzania's anti-vaxxer president

    John Magufuli’s cavalier disregard of Covid’s impact in the great lakes region is fuelling conspiracies and endangering lives What is wrong with President John Magufuli? Many people in and outside Tanzania are asking this question. Magufuli claimed last year that God had eliminated Covid in...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

    Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa: Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona. Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 kwanini Afrika haina vifo vingi vya Corona kama ilivyo US, Ulaya na Asia

    By Anne Soy BBC Senior Africa correspondent Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate Coronavirus in Africa: Five reasons why...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

    Mambo vp JamiiForums. Ninapoandika hoja hii, ninaomba ifahamike kuwa i have nothing personal with mzee Kimei na ninatambua kuwa yeye ni moja katika ya hazina kubwa ambazo taifa hili linazo katika masuala mazima ya uchumi na banking. Watu walikuwa wanapenda sana kumshambulia kaka yangu Pascal...
  19. 100 others

    JamiiForums Tanzania Ugomvi kati ya walinzi wa Vladimir Putin na walinzi wa mkutano South Africa (BRICS)

    Purukushani za hapa na pale zilitokea baaada ya walinzi wa Putin kukataa kuweka suitcase zao zisipite kwenye scanner, inasemekana kwamba suitcase hizo zilikuwa zina code za siri za silaha za nuclear za Russia. Inasemekana kwamba baada ya walinzi hao wa karibu kabisa wa Putin kufika eneo la...
Back
Top Bottom