africa

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wababe wa kivita Urusi inapanga kujenga kambi ya Jeshi lake Afrika

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameidhinisha kuendelezwa kwa makubaliano na Sudan ya kuanzishwa kwa kambi ya jeshi katika pwani ya Bahari Nyekundi. Urusi inapanga kujenga kituo cha usafirishaji na ukarabati kwa jeshi lake la majini ambacho kitakuwa na wafanyakazi wasiozidi 300. Rasimu ya...
  2. Little brain

    JamiiForums Tanzania Said Intabazonkiza (Young African new player)

    Tukiachana na Tuisila kisinda, Serge mukoko wachezaji walionesha kiwango kikubwa kwa muda mfupi. Unaongeleaje usajili wa yanga kwa huyu jamaa Tanzania 0 vs 1 Burundi Comoro 1 vs 1 Burundi Burundi 3 vs 1 mauritania mechi 3 magoli 4'
  3. JF Marketer

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways Introduces New Baggage Allowances in Africa, Offering Greater Choice And Flexibility To Passengers

    Passengers travelling from any destination within Africa can now enjoy a two-piece baggage allowance onboard Qatar Airways to select destinations Qatar Airways operates over 700 weekly flights to over 100 destinations worldwide 16 November 2020 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to...
  4. Gerald .M Magembe

    JamiiForums Tanzania Afrika lazima iendelee kuwa masikini ili Mataifa mengine duniani yaweze kuishi vizuri

    Je, maoni na mapendekezo ya nchi za Magharibi ni lazima tuyafuate katika kendeleza chumi zetu. Naamini lazima tubadilike ki muono na kutenda ili tuishi vyema. Kuna clip hapa itasaidia kujua wenzatu wanatufikiria vipi tuweze au tunapaswa kuwa.. Karibuni.
  5. Sufian Jr

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu vyuo vya kuendesha mitambo Afrika Kusini

    Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Trump angekuwa Afrika angesha shinda kwa kishindo!

    Mabibi na mabwana huu ndiyo ukweli wenyewe: Donald Trump mgombea aliye madarakani huko Marekani kama angekuwa hapa Afrika (hasa Afrika mashariki), tayari angesha tangazwa kuwa ni ushindi, tena labda wa kishindo (80%+). Kama Marekani ingekuwa ni Tanzania, NEC ya Kaijage na Mahera ingeshamaliza...
  7. jay311

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

    Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini? Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya...
  8. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hivi Afrika tunalaana ya hili neno "Demokrasia"

    .....YNWA..... Moderator FUTA HUU UZI. Please delete
  9. winnerian

    JamiiForums Tanzania China is slowly turning Africa into its Colony and our blind-deaf-brainless leaders are helping the process

    Straight to the point and short clear: China is lending a helping hand to African dictators which is in the financial support to pay the price for their longer stay in power without having any clue to where they are taking their nations. Like how a dog is lured by a python and gets constricted...
  10. josias

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tupieni jicho Uchaguzi wa Marekani

    Leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu Nchini Marekani ambapo Mwanasiasa Nguli Joe Biden atakuwa akichuana vikali na rais wa sasa wa Marekani Ndg. Donald Trump. Katika Uchaguzi huu wa mwaka huu Joe Biden anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya Donald Trumpn kwani tafiti zinaonyesha kuwa uwezekano wa kushinda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Opinion - Zimbabweans are More Educated in Africa But Why are They Like This ?

    2020-10-26 18:06:48 I question the real value, relevance and completeness of our education system.We are top in Africa but why are we like this. The Educated country has one of the worst GDPs and Standards of Living in the same Africa.We fail to properly use public toilets, litter our streets...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Know your Africa, all African countries with their president and capital city

    2020-10-26 07:30:08 Algeria Capital City: Algiers President: Abdelmadjid Tebboune Angola Capital City: Luanda President: Joao Lourenco Benin Capital City: Port-Novo President: Patrice Talon Botswana Capital City: Gaborone President: Mokgweetsi Masisi Burkina Faso Capital City...
  13. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu akiri kuwa mabeberu watafanya lolote kuhakikisha Africa inabakia kuwa masikini

    Hii video imenikasirisha sana. Nimeipost hapa kwa sababu inawahusu Wakenya, Watanzania na Waafrika kwa ujumla. Lazima tufahamu kuwa beberu sio mtu mzuri. Kwenye video beberu anakiri wazi kwamba wao watafanya juu chini kuhakikisha kwamba Africa inabakia kuwa masikini.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Forget South African ladies , Kenya has the most beautiful women in Africa here photos to prove it - opinion

    2020-10-25 12:04:40 Even Trevor Noah said he was willing to put a stake that South Africa has the most beautiful woman in the world. But now that he is in New York I wonder is he still share the same opinion. We don't need to look far in the west to find a different taste of beautiful woman...
  15. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Mazingira yamechangia kudumaza ufahamu wa Mwafrika

    Straight to the point. Africa ni bara lililosheheni vitu vingi vya asili vyenye thamani. Vitu ambavyo kama vingetumiwa ipasavyo na inavyotakiwa basi africa ingekuwa moja kati ya mabara yenye nguvu duniani. Africa ni moja ya bara lenye mazingira mazuri ya kuishi binadamu na asilimia kubwa ya...
  16. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania President John Magufuli: A Model Leader in Africa for Employing Science in Politics

    Politicians are often derided as liars and unreliable; while politics is equated to a mere game of lies. Some would call it a dirty game. But why is it the case? Because politicians would promise anything to win votes, and when confronted by the electorate about fulfilling the campaign promises...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zitaweza ushindani wa Afrika? Al Ahly imemuajiri kocha wa Mamelodi, Mosimane kwa mshahara wa Dola za Kimarekani 120,000 kwa mwezi

    habari wapenda soka, jana kulikuwa na mechi ya nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa africa, kati ya Waydad casablanca na Al ahly mechi hiyo ilichezwa mjini Cassablanca huku waydad akiwa mwenyeji. na al ahly alikuwa ugenini.. mechi iliisha kwa al ahly kushinda goli 2-0 ugenini katika...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Ports lead on having state of the art CARGO SCANNERS in East Africa

    Tanzania ina ongoza kwa kuwa na scanners za kisasa kwa ajili ya mizigo bandarini..Wakenya mpo....
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  20. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Straight to the topic. Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani. Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine. Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo. Na kwenye hizo dini kubwa...
Back
Top Bottom