Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!