Search results

  1. Kamakabuzi

    TRA rekebisheni mtandao wenu

    Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao. Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya...
  2. Kamakabuzi

    NACTE kuweni makini

    Nimeshangaa mtu anajaza taarifa zote ili kupata AVN lakini anambiwa itachukua masaa mengi hadi zaidi ya 130 ili kupata majibu, hata control number ya kulipia nayo inachukua masaa yote hayo. Kama vitu hivi ni system zinafanya kazi, nani ali-set masaa yote hayo? Kindly be informed that your...
  3. Kamakabuzi

    Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

    Nimedownload hilo jedwali (INCOME TAX TABLES 2122) kwa link hii Tanzania Revenue Authority - Tax Tables na nimegundua lina mapungufu kadhaa, Kuna mahali ukiweka mshahara kodi inakuja hasi (negative). Na hii imesababishwa na mtengeneza jedwali kutotumia formula inayojumuisha kila tax bracket...
  4. Kamakabuzi

    Nimeona hizi picha kwenye Yahoo, nimesikitishwa eti ndizo picha bora za Afrika

    Nimeona hizi picha kwenye yahoo, nimesikitishwa eti ndizo picha bora za Africa, Zione hapa baadhi Hivi kweli hakuna kitu more positive katika Aftrica? Habari yote iko hapa.. Africa's week in pictures: 21-27 May 2021
  5. Kamakabuzi

    Kilio cha Tundu Lissu kiko hapa

    Nimekuwa nikimsikia Tundu Lissu akilalamikia kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Kweli ana haki ya kulalamika maana inawezekana kabisa mawakala wasipewe fomu za matokeo na hivyo kukosa ushahidi wa matokeo. Nadhani mkurugenzi wa uchaguzi alisemee hili. Soma kanuni husika: Kanuni za...
  6. Kamakabuzi

    Uchaguzi 2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka

    Ila wamesahau haya: Mathayo 6:5 NEN “Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao. Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
  7. Kamakabuzi

    Tume ya Uchaguzi fafanua hili haraka

    Katika taarifa yenu ya tarehe 11 September 2020, kipengele namba i Imekubali rufaa 34, kata ta Kamgambo (Karagwe) imetajwa mara mbili. Rekebisheni kosa hilo maana yawezekana mlikusudia kutaja kata nyingine iliyo Karagwe na hivyo muhusika wa kata hiyo (Kamagambo ya pili} hajajulishwa au soma...
  8. Kamakabuzi

    Matokeo ya CVO Madagascar

    Nimeshangazwa na habari kuwa Madagascar inaoma msaada wa kupambana na corona wakati wana dawa. Nikafuatilia dawa yao iliyoletwa Tanzania kujua utafiti ulionyesha nini juu ya dawa hiyo - sikupata jibu Ebu fuatilia habari hiyo Madagascar yaomba msaada wa kukabiliana na corona - BBC News Swahili...
  9. Kamakabuzi

    Syllabus za kidato cha tano na sita - katazo

    Nilikuwa natafuta syllabus za kidato cha tano na sita Tanzania na nikafanikiwa kuzipata katika mtandao wa baraza la mitihani-NECTA. Lakini nimekutaza na katazo hili: "All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, reported, stored in any retrieval system or transmitted in...
  10. Kamakabuzi

    mipaka ya mahakama

    Mara nyingi nimesikia mipaka ya mahakama ya mahali fulani au jurisdiction lakini huwa siielewei vizuri. Labda niweke swali, je mahakama ya mwanzo iliyo katika tarafa A inaweza kupokea na kusikiliza na hatimae kuamua shauri kwa tatizo lililotokea katika tarafa B wakati tarafa B nayo ina mahakama...
  11. Kamakabuzi

    Matokeo ya rufaa ya NECTA; Mbona hakuna tofauti?

    Nimeangalia matokeo ya waliokata rufaa ya matokeo yaliyotolewa na NECTA kidato cha sita mwaka 2017. Naona ni kama hakuna aliyebadilishiwa matokeo. Je wanaokata rufaa mko makini au huwa mnajaribu tu! Fuata link hii http://www.necta.go.tz/files/MATOKEO YA RUFAA AWAMU I ACSEE2017.pdf
  12. Kamakabuzi

    Kuomba vyuo vya ualimu 2017 - Je tangazo hili ni sahihi au fake?

    Kuna tangazo kuwa kuomba vyuo vya ualimu mwisho tarehe 15.6.2017, je lina ukweli wowote? Naliambatisha
  13. Kamakabuzi

    Nyerere kutangazwa Mtakatifu ni ndoto?

    Kwa haya yanayotokea Zanzibar leo, nikikumbuka na yaliyotokea huko huko mwaka 1995, naona Nyerere kutangazwa kuwa Mtakatifu ni ndoto. Haya yanayotokea ni yale yale ambayo walishindwa kuyakubali 1995 kwamba inawezekan cuf ikaongoza zanzibar na chama kingine tofauti kikaongoza Tanganyika
  14. Kamakabuzi

    Tume ya uchaguzi mbona mnatudanganya?

    Ukiangalia karatasi za kupigia kura, utaona kuw chumba cha kuweka alama ya vema kiko pembeni kwa wagombea na vyama vyao, lakini kwenye mtandao wa tume ya uchaguzi, wanasema weka alama ya vema chini ya mgombea! Je nikifanya hivyo kura yangu itakubaliwa? Tovuti hiyo inasema hivi Nina pigaje...
  15. Kamakabuzi

    Haraka sana--- chadema wekeni mawakala kila kituo

    Nawashauri viongozi wa Chadema kuweka mawakala kila kituo. Mnajua sheria haiitambui ukawa na hivyo mgombea wa ukawa asiyetoka chadema hawezi kupewa kura za chadema. Kwa mfano katika kata A mgombea aliyesimamishwa na ukawa ni wa CUF, na huyu ataweka mawakala kwa tiketi ya CUF. Ikifika kura za...
  16. Kamakabuzi

    Tume yaanzisha kituo cha mawasiliano

    Kituo cha mawasiliano cha TUME YA UCHAGUZI kimezinduliwa leo, Tukitumie kupata taarifa mbalimbali. Nawashauri tume mambo mengi kama vituo vya kupigia kura wayaweke kwenye website yao. Itawapinguzia tume mzigo wa maswali endapo taarifa nyingi zitawekwa humo. Taariaf hii hapa Habari ::Tume ya...
  17. Kamakabuzi

    Prince na Muliro wa CHADEMA (UKAWA) waiteka Omurushaka karagwe

    Mgombea udiwani kata ya Bugene Mr. Muliro, leo amezindua kampeni za kuwania kiti hicho. Huyu alikuwa diwani kupitia CCM kwa miaka 10, lakini mwaka huu hata kabla ya uteuzi wa CCM akaamua kuhamia CHADEMA. Pia alikuwepo mgombea ubunge jimbo la Karagwe Mwl. Princepius Rwazo mkazi wa Karagwe...
  18. Kamakabuzi

    CHADEMA Karagwe yapata pigo, Kahangwa ahamia TLP

    Kuna habari zimezagaa kwa sms kuwa Mr. Kahangwa aliyekuwa ameongoza kwenye kura za maoni jmbo la Karagwe amehamia TLP baada ya CHADEMA kumteua Prince Rwazo kwa mgombea wao. Sms hiyo inasomeka hivi "...Katibu Kanda kanithibitishia kuwa jina langu limekatwa, wamemleta Prince aliyeshindwa kura...
  19. Kamakabuzi

    Mkurugenzi wa uchaguzi anavunja Katiba?

    Nimetatizwa na kifungu cha 3 (ii) cha tangazo la kuweka wazi daftari la wapiga kura, kwamba mtu ambaye alihukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita haruhusiwi kuwa mpiga kura. Kama kifungu hichoni sahihi basi kuna wengi ambao hawaruhusiwi kupiga kura. Halafu taratibu za kuweka wazi daftari...
  20. Kamakabuzi

    Natafuta promoter

    Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter. Nisaidieni Natanguliza shukrani kwa niaba yake
Back
Top Bottom