Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,364
Nilikuwa natafuta syllabus za kidato cha tano na sita Tanzania na nikafanikiwa kuzipata katika mtandao wa baraza la mitihani-NECTA. Lakini nimekutaza na katazo hili:
"All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, reported, stored in any retrieval system or transmitted in any form or by any means, electronic, mechanical, photocopying, recording or otherwise without the permission of the copyright owner."
Hizi syllabus zipo kwenye website maana yake ziko wazi kwa yeyote anayezihitaji. Je katazo hilo lina maana gani? Ina maana nikitaka kuzitumia mpaka nipate kibali cha NECTA? Je katazo hili linamsaidiaje mwananfunzi kujua nini anatakiwa kujifunza, au linamuathiri vipi. Au hizi documents ni za kibiashara ili tuseme ikiruhusiwa kuziprint basi biashara itaharibika? Nini mantiki ya katazo hili? Je katazo kama hili kwa nini haliwekwi kwenye downloads za sheria mbalimbali?
Kwa mawazo yangu hizi syllabus ni documents ambazo kila anayezihitaji awe huru kuzipata bila kikwazo chochote - na ni vizuri kuwa zinapatikana mahali sahihi.