Kuomba vyuo vya ualimu 2017 - Je tangazo hili ni sahihi au fake?

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,894
1,345
Kuna tangazo kuwa kuomba vyuo vya ualimu mwisho tarehe 15.6.2017, je lina ukweli wowote?
Naliambatisha
 

Attachments

  • TANGAZO MAFUNZO YA UALIMU 120417-1.pdf
    268.3 KB · Views: 44
Tukuulize ww umelipata wapi!! Maana hata katika tovuti ya wizara ya elimu bado hawajaliweka hlo tangazo

lakini kama ndo hvyo basi Ualimu ni kozi ngumu kwa sasa imeipita mpaka Afya duh
 
Back
Top Bottom