Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,363
Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter.
Nisaidieni
Natanguliza shukrani kwa niaba yake
Nisaidieni
Natanguliza shukrani kwa niaba yake