Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,364
Kuna habari zimezagaa kwa sms kuwa Mr. Kahangwa aliyekuwa ameongoza kwenye kura za maoni jmbo la Karagwe amehamia TLP baada ya CHADEMA kumteua Prince Rwazo kwa mgombea wao.
Sms hiyo inasomeka hivi "...Katibu Kanda kanithibitishia kuwa jina langu limekatwa, wamemleta Prince aliyeshindwa kura za maoni. Nimeonewa. Hivyo nami tangu leo si mwana chsdems tena.
Nimehamia chama cha TLP. Tayari nina kadi na barua ya utambulisho kwa Mkurugenzi tayari ili nichukue form ya ubunge. Na kesho nachukua form ya ubunge. Najikabidhi kwa Mungu. Wajulishe wadau wote katika kundi la timu ya Kahangwa. Wenu Kahangwa"