Search results

  1. Gaganiga

    Tegeta high school those days

    Wale wanangu wa Tegeta high school ni Pm nikutumie mahela ila nini nataka nifanye party jangwani sea breeze wale wote wa Tegeta high school na majobless tukutane jangwani sea breeze pale kawe,Tegeta high school 🔥
  2. Gaganiga

    ITV na Star TV acheni udini

    Hivi inakuaje TV ambao wakristo na waislamu wanaingalia kutwa kupiga nyimbo za injili hii sahihi kweli? Yaani kila siku Saa kumi na mbili asubuhi ITV na startv wao nyimbo za injili tu huuu si ubaguzi huu jameni? Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi...
  3. Gaganiga

    Lini CCM itatoka madarakani?

    Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani. Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka...
  4. Gaganiga

    Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

    Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu...
  5. Gaganiga

    Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

    Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani? Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha. Kwangu mimi sina haja hata...
  6. Gaganiga

    Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

    Saludo, Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru mungu for everything. Hello niwatangazia umma au member wa jamii forums ya kwamba nimepata mchongo I...
  7. Gaganiga

    World premature day 2022: promote skin to skin

    Hi,Today 16 November is the premature date which established in 2017 in order to to give awareness about premature day in order to prevent stigma for those baby whose born with this this birth complication! Todatmy I will give awareness about this baby whose need intensive care from mother...
  8. Gaganiga

    Miaka 61 ya uhuru bado tunahangaika na shida ya maji

    Aiseee! Tuache utani miaka 61 bado tunaangaika na maji, vyoo, elimu na vitu vidogo vidogo tu aisee! Inanikera mazee! Tumlaumu nani? Nyerere? Sisi wenyewe? Au viongozi wetu? Na je tukiwapa chadema kura huu upuuzi wa ccm ndiyo itakuwa bye bye? Tutafakari wala sipo na utani wakuu naumia sana
Back
Top Bottom