tegeta

The Tegeta escrow account scandal is a 2014 multi million-dollar corruption scheme in the government of Tanzania. Reports and documents show that between US $250 million and $800 million were transferred from the Bank of Tanzania, the country's central bank, and distributed illegally among government officials.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YAMJIBU MBUNGE WA KAWE KUHUSU UJENZI WA SOKO LA TEGETA NYUKI

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu. Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabwepande hatuna daladala, tunateseka kwa nauli za Bajaj. Tupate daladala angalau hadi Tegeta

    Mabwepande kuelekea Bunju B ni Shilingi 1,500 kwa Bajaj kitu ambacho ni gharama kubwa kwa wananchi wa hali ya chini, ushauri wangu zipatikane daladala zitoke Mabwepande ziende Tegeta Nyuki, ambapo kila mtu anaweza kuafodi nauli hata wanafunzi wa shule itawarahisishia sana. Zipatikane daladala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ikifika jioni Daladala za Mwenge–Bunju zinaishia Tegeta kisha zinatoza tena nauli ya Tegeta Bunju

    Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga...
  4. Sonship

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri inauzwa Goba, njia panda ya Tegeta A kwa niaba ya benki

    LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara Umiliki: Mkataba Wa Mauziano Ukubwa Wa Eneo: SQM 810 Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A" Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road Maji...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Ni kweli Mkandarasi wa Mradi wa Mwendokasi Mwenge - Tegeta anasuasua, Serikali imechukua hatua za Kimkataba

    Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi? UFAFANUZI WA TANROADS: Serikali kupitia TANROADS inatambua...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

    Habari ndiyo hiyo, kama unatarajia kwenda popote, badili njia. Hata bodaboda hazipiti
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mwenge - Tegeta ajitahidi kumwaga maji. Atatuua kwa vumbi

    Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania DAWASA harakisheni Tegeta A, Kwa matope maji yanapotea bomba linavuja

    Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa. Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Polisi wakikagua abiria Tegeta Kibaoni

    Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
  10. A

    JamiiForums Tanzania LIKIZO TIME TUITION & PRE FORM ONE (0782044028)- TEGETA NYUKI.

    Tunafundisha masomo yote, kwa O LEVEL & A LEVEL. Concepts & Solving KARIBU
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wezi wavunja Maduka na kuiba Tegeta

    Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam. Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Likizo Time Tution.. mapambanio centre- Tegeta Nyuki (0625012562)

    A Level na O Level, masomo yote. Kutana na walimu wabobevu kwa kila somo. Pia tunafundisha mbinu za kufanya solving ya maswali kwa kila topic,, pamoja solving ya past papers... Hostel pia zipo. Tupo Tegeta- Nyuki KARIBU.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Likizo time tution. Mapambanio centre- Tegeta Nyuki

    Likizo time tution. Mapambanio centre- tegeta nyuki. A level na o level masomo yote.. Walimu wabobevu kwenye kila somo. Solving ya maswali kwa kila topic na maswali ya necta inafanyika kwa kina. Karibu (0625012562) Whatsap; 0782044028
  14. A

    JamiiForums Tanzania Likizo time tuition. Mapambanio centre- Tegeta nyuki. Hostel pia zipo

    A LEVEL NA O LEVEL MASOMO YOTE. WALIMU WALIOBOBEA KWENYE UFUNDISHAJI. SOLVING YA MASWALI MBALIMBALI NA MASWALI YA NECTA INAFANYIKA KWA KINA KABISA.. MWANAFUNZI AKITOKA HAPA ANAKUA TAYARI KUFANYA VIZURI KWENYE MTIHANI WA MWISHO. KARIBU (0625012562)
  15. U

    JamiiForums Tanzania Anaishi mbagara anashinda Tegeta anakunywa kahawa, hatujui kazi yake , Hana simu

    Wadau hamjamboni nyote?
  16. BOFREE

    JamiiForums Tanzania natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

    habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
  17. Vien

    JamiiForums Tanzania KERO Maji hayatoki zaidi ya wiki maeneo yote ya Goba

    Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
  18. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa Tegeta

    Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1204. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767...
  19. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Martial Arts Tegeta au Boko

    Habari, Nlikua naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinazotoa huduma ya martial arts katika maeneo tajwa hapo juu na nitashukuru nikipata na msaada wa gharama. Asante
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Tegeta -Mwenge inajengwa chini ya viwango! Mvua za masika maji yatapita juu ya barabara

    Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku. Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa. Eneo la Makutano ya barabara ya Goba /Bagamoyo maji hujaa sana Eneo la Interchic/Art Gallery maji...
Back
Top Bottom