Search results

  1. Mtaalam

    Itifaki ya Bungeni leo...

    Habarini wapenda mada za mambo yetu.. kwa waliofanikiwa angalia shughuli za ufungwaji wa bunge letu kama walinotice mkuu wa nchi alipotia timu bungeni, aliposhuka tu kwenye gari alipokelewa na mwanajeshi alikua amevaa sare kama ya mkuu wa majeshi, na sio yule mpambe wake.. Aidha kipindi cha...
  2. Mtaalam

    Wanatafutwa Wahudumu wa Restaurant ndogo na Mini Bar

    Location: Dar es salaam mjini kabisaa Siku za kazi: 6 kwa wiki Kazi kuanza: hata kesho kwa anayestahili Pia kuna nafasi za kulala kwa wahudumu wa kike. Yeyote aliye serious au mwenye mtu atafutae kazi kama hizi ani pm niweze muelekeza namna ya kufanikisha mawasiliano zaidi..
  3. Mtaalam

    Kwa wanaohitaji Vyuo nje ya nchi

    Habari za Weekend waTanzania wenzangu, Natumaini mwaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Nimekua nikifuatilia jinsi wadogo zetu wanavyotaabika na masuala ya kutafuta na kupata vyuo nyumbani Tanzania, wengine hufanikiwa na wengine hushindwa na kuishia kulazimika kupoteza mwaka...
  4. Mtaalam

    could this be a joke?

    jana nilipokea msg sasa nikashindwa kuielewa niitake as a joke au ndio njia ya kuwakumbuka wapendwa wetu?? it goes like this.... " Huko Mbinguni leo kuna sherehe, vijana Complex na Vivian hatimaye wameamua kufunga ndoa....wageni rasmi ni mwalimu Nyerere na Karume. Mc ni Amina Chifupa...
  5. Mtaalam

    Msanii Chameleon ajirusha ghorofani, avunjika miguu

    MSANII maarufu wa Uganda, Jose Chameleon amejirusha kutoka ghorofa ya tatu ya Hoteli ya Impala mjini Arusha na kusababisha kuumia vibaya ikiwa ni pamoja na kuvunjika miguu yote. Chameleon ambaye amekuwa akitamba na nyimbo za ‘Jamila’, ‘Mama Mia’ na nyingine alijirusha kutoka chumbani kwake...
  6. Mtaalam

    Bongo Flava

    mie naomba nyimbo hizi mbili haoooo wa mwansiti na chidi,bado nipo nipo kwanza wa mwana fa
  7. Mtaalam

    about watulivu,wenye heshima zao na wa dini!!

    nimekuwa nikiwaziaga sana abt watu flani flani katika jamii na leo niliposoma comments za naima , yo yo kwenye big brother thread nkashawishika kuuliza wana jamii forums kwa ujumla abt it.. it goes like this,je ni kwa nini wasichana wale wenye heshima zao na waonekanao ni watu wa dini flani...
  8. Mtaalam

    august 1,mwisho wa vipanya (hiace)!!!

    as tulivyosikia wajimini kuanzia siku hiyo ya ijumaa ya august 1 hamna ruhusa kwa vipanya kutoa huduma jijini kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari jijini, je is it the right njia mbadala kupunguza msongamano huo?? wil it solve the problem? and what about shida ya usafiri wa wananchi...
  9. Mtaalam

    Mabondia wa TZ wakamatwa na madawa ya kulevya Mauritius

    TIMU ya ngumi ya Tanzania iliyokwenda kushiriki michuano ya ngumi ya Ubingwa wa Afrika, wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroin. Waliokamatwa ni kocha wa timu ya taifa, Nassor Michael, bondia wa uzito wa feather Petro Mtagwa na bondia pekee aliyefuzu kucheza michezo ya Olimpiki...
  10. Mtaalam

    TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

    kipute ndo hichooo chakaribia bandugu na wa cameroon washatua darisalama tayari kwa mpambano
  11. Mtaalam

    Kubadilisha damu mwili mzima: Je kuna ukweli katika hili?

    I have been hearing tory za vijiweni na news about watu flani flani n now nikisoma habari ya mtu mmoja hapa jf nimekumbuka tena hiyo habari nikaona kwa vile jf ni kama one of da main source ya sio tu information pia hata knowledge kwa baadhi yetu niulize hapa... swali lenyewe ni hivii ni kweli...
  12. Mtaalam

    ajali ya ndege Moshi

    nimeingia kwenye blog mojawapo nimesoma kuna habari kuwa kuna ajali ya ndege wajimini sijui pasua moshi uko tz...wadau mlioko huko hebu tumuvuzishieni habari zaidi
  13. Mtaalam

    Pongezi Kwa Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete

    katika pita pita yangu katika blog mbali za watanzania nimekutana na barua hii ya mdau mmojawapo aliyeko india akimpongeza raisi wake.. sasa ninachojiulizaga mie ni watu huwa vipofu wa kufikiri ama viziwi wa kutafakari???ama ukiwa mwana ccm basi hata kufeel ukweli na uchungu juu ya nchi yetu...
  14. Mtaalam

    Britney Spears's viojaz!!

    nyepesi nyepesi zimetoka kuwa Britney anatoka na mpiga picha wa ki Pakistan na ana mpango wa kubadili dini awe muislamu aitwe Begum Britney na kama hajamaliza habari ana mpango wa kujimuvuzisha na mkandamizaji wake huyo mpya to Pakistan!!! he he he heeee huyu dada jamani apelekwe Milembe za...
  15. Mtaalam

    AIDS huweza ambukizwa na matunda?

    Nimesoma forwarded msg moja kwenye email yangu na nikakuta ina story sijui ni kweli ama nini yasema kuwa kuna mtoto wa miaka 10 alipata ukimwi kupitia tunda nanasi ambapo muuzaji mwenye UKIMWI alikata tunda hilo na kwa bahati mbaya akajikata na damu ikapita kwenye tunda lile na huyo kijana...
  16. Mtaalam

    J.Nyerere's Letter (barua) to J.Kikwete

    To: Mrisho Jakaya Kikwete Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or you just don't know what you are really doing in State House. But whatever it is, you're leading the nation in wrong direction. And as a former statesman, I feel duty-bound to warn you at this time...
  17. Mtaalam

    International schools vs normal schools in TZ

    wana JF nimeona suala hili likigusiwa kwa juu kwenye thread flani na mie likanigusa as nikiwa Tz kuna wakati i used to fuatilia performance za hizi international schools...sio primary hata secondary yaanii nadhubutu kusema ni mbovu..as hata kwenye mitihani mara nyingi hazifanyi vyema watoto...
  18. Mtaalam

    Tanzania,cameroon,mauritius,cape verde..tutapita?

    me hofu yangu ni kwa hao kina etoo tuu wacameroon..tukaze buti wa tz twaweza fika
  19. Mtaalam

    Upinzani kwenda mahakamani tena ni sawa?

    Je ndugu zanguni pamoja na kuwa Upinzani umezidi sana kwa kwenda mahakamani mara kwa mara..je kwa kesi ya sasa hivi sababu iliyowapeleka mahakamani mwaionaje??Ni haki uchaguzi kusimamishwa?watashinda kesi?
Back
Top Bottom