Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,368
- 222
wana JF nimeona suala hili likigusiwa kwa juu kwenye thread flani na mie likanigusa as nikiwa Tz kuna wakati i used to fuatilia performance za hizi international schools...sio primary hata secondary yaanii nadhubutu kusema ni mbovu..as hata kwenye mitihani mara nyingi hazifanyi vyema watoto wapitiapo shule hizo maadili huwa mabovu kwa asilimia kubwa!kwa nini sasa Twaiga Tembo kunyaaaaa???