Britney Spears's viojaz!!

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,370
234
nyepesi nyepesi zimetoka kuwa Britney anatoka na mpiga picha wa ki Pakistan na ana mpango wa kubadili dini awe muislamu aitwe Begum Britney na kama hajamaliza habari ana mpango wa kujimuvuzisha na mkandamizaji wake huyo mpya to Pakistan!!!

he he he heeee huyu dada jamani apelekwe Milembe za huko kwao ana matatizo mengi it seems!!!
 
Huyu dada anaonekana amechoka na wanaume wenye magovi! mwache aonje dunia nyengine!
 
Ndiyo hivyo, wakati mwingine kula nyama kuku kwa muda mrefu inachosha mwache abadili ale nyama ngamia pia.
 
Back
Top Bottom